Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nawewe kuwa na zote
šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚ kumekucha sasa wewe ukijiangalia vizuri tu ni mtu?

Nakuonea huruma šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚ nikishuka na file lako hapa utashangaa šŸ˜‚šŸ˜‚

Vipiii yule bwana ulienda pm na kujichatisha siku nzima na ukujibiwa pm šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚

Wewe dada nyamaza šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚
 
Haya leta mafile yote uniwekee hadharani na picha zote na kila kitu unachojua ila.kama niuongo block itakuhusu soon
 
[emoji3059][emoji3059][emoji3059] na bado kuna vingine namletea, sandals ndio umegoma kunisaidia kuchagua

Mwenzio nikipenda, napenda familia yote mpk mifugo ya nyumbani kwenu [emoji23][emoji23][emoji23]
šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ”„šŸ”„šŸ”„šŸ”„
 
[emoji23][emoji23][emoji23] ile ilikuwa changamsha genge

Unajua tunaigiza? Mimi na Kantri tunamaanisha. Na tunagombanaga Kweli
Ile kweli imekaa kichangamsha genge

Nilicheka nilitaka kuzimia

Comment sasa ndo kabisaa

Sijui ulicopy wapi ile stori.

Kumbe mko serious
Nilijua mnaact
Mungu awasimamieā£ļø
 
Back
Top Bottom