Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,883
- 67,312
Ahahah sijamsindikiza nimeomba gar nimetoka nalo uku napewa onto kali 🤣 nikigongesha nipeleke moja kwa moja Toyota garage 🤣🤣aisee, mambo ya kumsindikiza shem
Ahahah sijamsindikiza nimeomba gar nimetoka nalo uku napewa onto kali 🤣 nikigongesha nipeleke moja kwa moja Toyota garage 🤣🤣aisee, mambo ya kumsindikiza shem
hahaha
gari yako hiyo bro?
Ahhahaa mimi sikai kwa shemeji ila natumia vitu vya shemeji 🤣🤣🤣aisee, afu unanicheka mimi
Umeona nimeagiziwa cake unaanza chokochoko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ili hali ya hewa ichafukwe
Kumbe ndo wewe mnunuliwa.Soma post 363009[emoji115]
Akilipia niambie nikupe maelezo lini uitengeneze [emoji39][emoji39][emoji39]
Nataka niwe karibu yako kipenzi nauseme unanipenda naunamaanisha hilo kwanza mengine nitakuja kukunong'onezaNipo sweetheart mtoto maua😘🌺🌺
Sema unataka nini mrembo
Nipo kwa ajili yako
Ahahahaha nikupe na wewe shoga ake usiwe single uwe unaendesha Ford rangennimeanza kuona Mwachiluwi ni kimarioo cha mtu😂
Mambo haya ni Cute Wife usilale mapema leo ngumi zinaweza token hapaNinajua vizuri umetumwa na masikini wenzio mmezoea kudanga ndio maana kukicha unawaza wanaume urimbukeni unakusumbua
Sawasawa jirani..Jirani matunda usisahau
Ok, weka namba. Kuna mtu nitampigia akutumie kupitia wakala, amesafiri so utasubiri kama ndani ya saa 1Asante Mkuu,Ubarikiwe.
Unaruhusiwa kumnunulia hata rafiki,ndugu ,hata Mimi mwenyewe ni ruhusa kuninunulia[emoji23]
Malipo napokea kwa namba yangu ya simu ama wakati wa delivery.
Kumbe ndo wewe mnunuliwa.Soma post 363009[emoji115]
Akilipia niambie nikupe maelezo lini uitengeneze [emoji39][emoji39][emoji39]
Ok, weka namba. Kuna mtu nitampigia akutumie kupitia wakala, amesafiri so utasubiri kama ndani ya saa 1
Nakutumia Mkuu [emoji120]Ok, weka namba. Kuna mtu nitampigia akutumie kupitia wakala, amesafiri so utasubiri kama ndani ya saa 1
Unaiga bestHakunaga zaidi yangu mi na wewe
Hakunagaaaa zaidi yangu mi na wewe
Hakuna, hakunagaa [emoji8][emoji182][emoji182][emoji182]
Hapo hapo shikiliaAfu ndio shem ako ninayetaka kumzalia [emoji7][emoji7]