National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
Mie napenda forex... sana.. hivi karibuni narudi sokoni tenaIna matter mkuu, mi forex- nehi nehi 🏃🏃
Mie napenda forex... sana.. hivi karibuni narudi sokoni tenaIna matter mkuu, mi forex- nehi nehi 🏃🏃
stock market ni nzuri sana... kikubwa uwe na internet ya uhakika.. kuna mahala niliingia ndani kabisa ikakata natoka polini account ina pumulia oxygenNational Anthem mi napenda stock, na Kuna ma broker app zao na system yao SI ya mchezo mchezo😂😄
Take it easy, huu mchezo ni zaidi ya price za share ya Berkshire Hathaway 😂😄🤣aahahaaa.. ebu kunywaaa maji kwanzaaa... imekuwaaa tuuuu pesonali.. We dogo nikutongeze kwa kitu gani ulicho nacho special.. acha ushamba wa kupakiziana umetongozwaa.. siwezi kukutongoza banaa.... kama ulihisi nakutongoza ondoa hilo wazo..
Na uwe na helaaaaa, sio dollar 10 Kama Mimi😄😂🤣🤒stock market ni nzuri sana... kikubwa uwe na internet ya uhakika.. kuna mahala niliingia ndani kabisa ikakata natoka polini account ina pumulia oxygen
😅 😅 😅 😅 siasa za humu ngumu sana.. stock una deal na company gani hasa mkuuTake it easy, huu mchezo ni zaidi ya price za share ya Berkshire Hathaway 😂😄🤣
Niki pataga hela zilizo sidi, Nita kuja tu train pamojastock market ni nzuri sana... kikubwa uwe na internet ya uhakika.. kuna mahala niliingia ndani kabisa ikakata natoka polini account ina pumulia oxygen
dollar 10 sadaka hiyo... nashauri mtu aanzie hata $5000 chini ya hapo inakuwa kama una bet ingawa unaweza toboa kwa mazabe mazabeNa uwe na helaaaaa, sio dollar 10 Kama Mimi😄😂🤣🤒
Vi small rising company, au zile new company wanazo taka kupata mtaji.😅 😅 😅 😅 siasa za humu ngumu sana.. stock una deal na company gani hasa mkuu
pokea hela zilizo zidi kwa msaada wa Mungu, na juhudi zako mwenyeweNiki pataga hela zilizo sidi, Nita kuja tu train pamoja
Sasa mkuu mi hizo dollar 5000 nazitoa dunia ipi🤣😂😃😄dollar 10 sadaka hiyo... nashauri mtu aanzie hata $5000 chini ya hapo inakuwa kama una bet ingawa unaweza toboa kwa mazabe mazabe
tafuta kwanza mtaji mkubwaa mkuuVi small rising company, au zile new company wanazo taka kupata mtaji.
ebu tulia basi bibi bombaaa.. .😀😀😀😀
picha ya mwanaume unataka uone nini weye ajuza... [emoji28][emoji28][emoji28]
Mie mwambamba kinoma upepo tu ukipuliza huwa unanipepelusha, alie kuambia hajakosea sema hapo pa kitambii... kakulisha tangooo.... alafu usinichafue banaa.. mie siwezi kukutingoza we kikongwee.. sina mda huoo
Utapata tu ndugu yangu, Maisha ni hatua kakaSasa mkuu mi hizo dollar 5000 nazitoa dunia ipi🤣😂😃😄
Ila tuta fanya stock za makampuni tu, naona Berkshire Hathaway share Zina panda na Wana pata gawio kila Mwaka.pokea hela zilizo zidi kwa msaada wa Mungu, na juhudi zako mwenyewe
Mkuu Kama unazo, Kuna vi kampuni vidogo vina rise sana- China Wana tu small rising companies.Utapata tu ndugu yangu, Maisha ni hatua kaka
aahahaaa.. ebu kunywaaa maji kwanzaaa... imekuwaaa tuuuu pesonali.. We dogo nikutongeze kwa kitu gani ulicho nacho special.. acha ushamba wa kupakiziana umetongozwaa.. siwezi kukutongoza banaa.... kama ulihisi nakutongoza ondoa hilo wazo..
eeeh! ni mwembamba kichizi na mmbishi kinoma kula... upepo siku moja ulinibamiza ukutani.. bila hivyo ningepeperushwaa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kweli??
Ni kweli, ukiwa na mtaji una toboa, imagine hisa za net flix- huwa Zina shuka mpaka 90 dollar- ziki panda Hadi 180 aisee😄😃tafuta kwanza mtaji mkubwaa mkuu
eeeh! ni mwembamba kichizi na mmbishi kinoma kula... upepo siku moja ulinibamiza ukutani.. bila hivyo ningepeperushwaa...
so acha kusikilizia maneno ya uongo sijui na kitambi.. wana kuchuuza... tu bwana mdogo
😂🤣😂😄😃😃, Relax jamaniUlijuaje?? Nakunywa maji nakaribia lita 5 sasa kichwa kinaniuma.
Basi yaishe mtu wangu naona utani utaelekea kubaya bure tuanze kupishana km bus za mkoa