Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 20,059
- 61,333
Poa poa MkuuNikipata Nita kujuza mkuu💪🙏
Poa poa MkuuNikipata Nita kujuza mkuu💪🙏
🥰 🥰
Duh una play video games 4k you tube, wakati sisi za 240p ni msala😂😃🤒 mshamba_hachekwi 😃🏃🥰 🥰
Every time we meet the picture is complete
Every time we touch the feeling is too much
View attachment 2708162
atakufa tu asie na akili... humu nina mtu wangu mmoko tu Depal .. mambo ya kutongoza wengine wananichafua kisiasaa tuHuu mchezo mta uana😂😃
😅😅😅😅😅 240p inachenga chenga nyingiDuh una play video games 4k you tube, wakati sisi za 240p ni msala😂😃🤒 mshamba_hachekwi 😃🏃
Wapinzani ni wengi😃😂🤣🤒atakufa tu asie na akili... humu nina mtu wangu mmoko tu Depal .. mambo ya kutongoza wengine wananichafua kisiasaa tu
Dah jau mzee, nialike nipate ka Wi-Fi bchief🤣😂😃😅😅😅😅😅 240p inachenga chenga nyingi
🥰 🥰 🥰 🥰 🥰I'm here...
Nachafuliwa tu kisiasa.. sijatongoza mtu hapa.. kama hivyo mbona wadada wote jf nitakuwa nimewatongoza sasa...Wapinzani ni wengi😃😂🤣🤒
uanze download series ahahaDah jau mzee, nialike nipate ka Wi-Fi bchief🤣😂😃
Series ninazo mpaka najiogopa 😂🤣😂, sema Nita jazia kidogo 😃😃uanze download series ahaha
aahahaaa.. ebu kunywaaa maji kwanzaaa... imekuwaaa tuuuu pesonali.. We dogo nikutongeze kwa kitu gani ulicho nacho special.. acha ushamba wa kupakiziana umetongozwaa.. siwezi kukutongoza banaa.... kama ulihisi nakutongoza ondoa hilo wazo..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] maneno ya mkosaji hayo pyeeeee
Weka za mademu zako tuone visigino vyenye ukoko
ningekuwaga kazini bado, ningekuitaga mahala.. net inaenda hadi 500mbs and aboveSeries ninazo mpaka najiogopa 😂🤣😂, sema Nita jazia kidogo 😃😃
500 mb per second??? Au nime elewa vibaya??😄😃ningekuwaga kazini bado, ningekuitaga mahala.. net inaenda hadi 500mbs and above
500mbs +, yah! upo sahihi.. nilikuwa nafanya kazi kwenye data center moja kubwaa sana nchini500 mb per second??? Au nime elewa vibaya??😄😃
Dah tunge kuwa tuna trade stock aisee😂🤒500mbs +, yah! upo sahihi.. nilikuwa nafanya kazi kwenye data center moja kubwaa sana nchini
stock na speed ya internet wapi na wapi mkuu... nilikuwa nafanya forexDah tunge kuwa tuna trade stock aisee😂🤒
ZimekuaSaint Anne njoo uone nywele zetu!!!
View attachment 2708059
View attachment 2708058
Cc
Mzee wa kupambania
Ina matter mkuu, mi forex- nehi nehi 🏃🏃stock na speed ya internet wapi na wapi mkuu... nilikuwa nafanya forex