National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
tatizo lako nakuambia njoo nikukande... wala kichwa kisingekuuma tatizo ubishi wakoo tu.. utafikiri nitaibebaaUlijuaje?? Nakunywa maji nakaribia lita 5 sasa kichwa kinaniuma.
Basi yaishe mtu wangu naona utani utaelekea kubaya bure tuanze kupishana km bus za mkoa
Ila pole mdogo wangu!
Pona kichwa ukae sawa