wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 26,008
- 28,342
Kama la mbeng'o alikwamiawa pumba kooni
Hilo jichoo
Hilo jichoo
Hahaha hapana hua nafikiria pombe tu mimi![]()



naona ule uzi umekuwazisha sana leo siyo??
Leo nilikua chimbo moja hvi na Priscilla alikua anawaasa vijana waache ufisi
Mmhh wewe unajua mno kutumia fursa,, usije tu ukamrubuni dada yangu eti..


naona ule uzi umekuwazisha sana leo siyo??



mkome uhuni
Hamna mimi nimeufurahia sana mbona....anagalau foleni zitapungua,wabaki majasiri wachache![]()
Kwa taarifa yako joanah ndo huwa ananikwepa sasa. Ukulima unaniponza.yeah hilo JF nimeliona sana,, mie ninaofahamiana nao hawafiki hata kumi na wote nimefahamiana nao humu humu tu..
Ila twende mbele turudi nyuma pamoja na hii misimamo tuliyojiwekea kuwa hatutaki kukutana na watu wa JF ila kuna watu tu lazima utakuwa umejiwekea ambao hauwezi kuwakatalia
Mfano joanah mwenyewe pamoja na huo msimamo wake amesema Asprin akikubali kuonana naye basi wataonana
Na hata mie pamoja na msimamo wangu huu ila kuna watu wangu wachache sana ambao wakikubali nionane nao basi fresh tu
Citroen gani hii?Mdogomdogo najikongoja kuelekea home.View attachment 1275482View attachment 1275483
2006 mkuu.Citroen gani hii?
Unique ndinga hasa kibongobongo2006 mkuu.
Ngabu nasubiri picha yako tafadhali
Fanya utaratibu basi niione