Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,238
- 90,415
HahahahaShunie. Love njoo univalishe viatuView attachment 1274757
HahahahaShunie. Love njoo univalishe viatuView attachment 1274757
🔥🔥Yup....it’s the 2019 Retro infrared 6.
hakika mkuu...wanajizubaisha sana aiseeKabisa Mkuu sie wapenda picha wanatunyima uhondo
tulivyokuwa tunakesha wote umesahau enh?Hizo Ni faida za kuwahi kulala
WanategeaMpooo
Picha picha
Hahahaha, mpk wana bore , hebu wasisitize watupie picha za kutoshahakika mkuu...wanajizubaisha sana aisee
Citroen uunh...Mdogomdogo najikongoja kuelekea home.View attachment 1275482View attachment 1275483

Hahahaha huo ndo wimbo wangu muda wote..Hahahaha, mpk wana bore , hebu wasisitize watupie picha za kutosha
Uzi bado upo active, ila picha zimekuwa chache![]()
Blessed morning to you and yours as well
Huyu mannequin kanichekesha sana.
Nilimkuta kwenye Nike retail store.
Dizaini vibonge walilalamika kuwa huwa hawawakilishwi kikamilifu ilhali na wao ni wateja wakubwa wa Nike.
Nike wakaona isiwe tabu. Ngoja turidhishe wateja wetu wa size na rangi tofauti.
Mannequin ni chibonge halafu mweusi. Hahahaha. Funny![]()
View attachment 1275658
Where on earth that effin' jet be cruising to??
Nilikuomba kuwa msaidizi wa ukulima wa matikiti,hujawahi kukubali 😁