Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,540
- 88,486
Endiwooo
Wewe kama wewe unapenda kuonana na mimi?
Wewe kama wewe unapenda kuonana na mimi?
Usingizi umepaa
Hata sielewi yaani..Hadi sasa umefika wapi eti??
hebu twenzetu PM chapchap sana...Endiwooo
Hata sielewi yaani..
Hello friday.View attachment 1275672
guessing the Jordan 6's.... can't see clearly tho
mateso bila chukiEndelea kusubiri
guessing the Jordan 6's.... can't see clearly tho
HaweziMmhh wewe unajua mno kutumia fursa,, usije tu ukamrubuni dada yangu eti..


.Mguu pekee hautoshi.

Rangi Kama yanguHuyu mannequin kanichekesha sana.
Nilimkuta kwenye Nike retail store.
Dizaini vibonge walilalamika kuwa huwa hawawakilishwi kikamilifu ilhali na wao ni wateja wakubwa wa Nike.
Nike wakaona isiwe tabu. Ngoja turidhishe wateja wetu wa size na rangi tofauti.
Mannequin ni chibonge halafu mweusi. Hahahaha. Funny![]()
View attachment 1275658
Kabisa Mkuu sie wapenda picha wanatunyima uhondoUzi umekuwa too much kuchati.
Tuzingatie lengo la Uzi tafadhali
Hizo Ni faida za kuwahi kulalamateso bila chuki