Darlin
JF-Expert Member
- Aug 9, 2020
- 4,818
- 10,709
Hii haijaenda😂🚮
cut the middleman😂
Mjep ni moja ya taasisi kubwa ya kupambana na umasikini hapa JF.....Kwahiyo mimi special group please kak nitoe haraka Kwahiyo Mjep ni charity organisation?
Wewe si utaki kuniwezesha mm mdogo wako upo unagombania pochi manyoyaMjep ni moja ya taasisi kubwa ya kupambana na umasikini hapa JF.....
Hana utapeli kama wale ambao walikuwa wanawapa ahadi za kuwapeleka mamtoni halafu mnaishia Sinza.
Naona sasa wewe kijana unataka kunitusi.😅😅hivi hiyo id 'the boy wonder' ina maana gani mkuu😅
Boss wako ... Boss wa Tanzania nzimaa.. weekend niliwaone wengi Sanaa mahalaa..Niko kwa Boss wangu [emoji3][emoji3]
hamna mkuu kuna kitu inanikumbusha😅Naona sasa wewe kijana unataka kunitusi.😅😅
sawa hapo sawaa.. umefikia Esperanza hotel... Au na jina linaanza na E 😊😊😊😊Tatizo lako huwa unahisi kila mara nakutania haya Soma hiyo [emoji1][emoji1]View attachment 2694746
Daah, wewe jamaa! Mbona unanifedhehesha na kuniletea tashwishwi kaka yako hivi.....Wewe si utaki kuniwezesha mm mdogo wako upo unagombania pochi manyoya
au....Hii haijaenda😂🚮
Kitu gani hicho wewe jamaa ? 😅 😅hamna mkuu kuna kitu inanikumbusha😅
Unamuamini🚮😂, tumepigwa hapoau....
akutumie afu uje nayo PM, na ile nyingine ilee😁
Naona karudi eneo la tukio...
Ahaha unataka nirudi mwakaleli na shangazi kaja au kiloba cha unga wa kilo tano nimewekea nguo?Daah, wewe jamaa! Mbona unanifedhehesha na kuniletea tashwishwi kaka yako hivi.....
robin, sidekick wa batman anatumia sana tagline ya 'boy wonder'Kitu gani hicho wewe jamaa ? 😅 😅
😅😅 huyu mzito sana..Naona karudi eneo la tukio...
Baki town braza uendelee kupiga waxing, kule Mwakaleli wakina shangazi Tuntufye watakuroga bure...Ahaha unataka nirudi mwakaleli na shangazi kaja au kiloba cha unga wa kilo tano nimewekea nguo?
aya basi ukuje mwenyewe😁Unamuamini🚮😂, tumepigwa hapo