National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
😅😅😅 Kama kawaida yakooo...Haha niko dodoma
Chamwino moja ninii
😅😅😅 Kama kawaida yakooo...Haha niko dodoma
Inapendeza san mkuuIpo kwa kachimbari brother…
😅😅😅Dada yangu Jadda sasa hivi yupo Dodoma, na mie nipo Dar es Salaam... Nikienda tu Dom nitapishana nae yeye akirudi DsmAnawaogopa vijana wa hovyo, hamna masikhara kabisa! 🤣 🤣
mwenye kupata, apate😂Tuselfike wadau
Nimepata jamani leo😂Tuselfike wadau
Watu tuko fasta😂mwenye kupata, apate😂
Jr asante sana Heshima yako mkuu saluteeTuselfike wadau
Hongera AhahahahNimepata jamani leo😂
Sema leo ulikuwa macho tuWatu tuko fasta😂
hajasema mtandao au mmebahatisha tu😂Watu tuko fasta😂
Kabisa na haya macho yalivyokuwa makubwa😂Sema leo ulikuwa macho tu
Unaangalia rangi ya vocha ya mtandao unaotumia.hajasema mtandao au mmebahatisha tu😂
Ukajua na leo unakosa?Kabisa na haya macho yalivyokuwa makubwa😂
Kazi kazi mazee!✊✊✊Kazi kazi jamaa yangu
Ngoja nipite naked kuonyesha nimefurahi, watu si wamelala😂Ukajua na leo unakosa?
😬hadi mbinu mnazo.....Unaangalia rangi ya vocha ya mtandao unaotumia.
Hahaha, dada hataki umpeleke Bambalaga ? 🤣😅😅😅Dada yangu Jadda sasa hivi yupo Dodoma, na mie nipo Dar es Salaam... Nikienda tu Dom nitapishana nae yeye akirudi Dsm
😂🚮😬hadi mbinu mnazo.....
haya em unga bando unidondoshee madesa hapa
😅😅😅 Dada na dada mwingine.. walishanichomesha samaki samaki... Subiriiii wapiiiii ... Hadi panakucha siona dada wala sisterHahaha, dada hataki umpeleke Bambalaga ? 🤣