Darlin
JF-Expert Member
- Aug 9, 2020
- 4,818
- 10,709
Umefunga PM ndio shida😂😂Unamuamini🚮😂, tumepigwa hapo
Umefunga PM ndio shida😂😂Unamuamini🚮😂, tumepigwa hapo
Hahahaha, kumbe unazifahamu hizi njemba za Gotham...!robin, sidekick wa batman anatumia sana tagline ya 'boy wonder'
Sasa wewe utaki kunipa pasi itakuwaje bupe akiniona narudi mjini na shangazi kaja atanicheka mzeeBaki town braza uendelee kupiga waxing, kule Mwakaleli wakina shangazi Tuntufye watakuroga bure...
big fan aisee wa the 'caped crusader'😁Hahahaha, kumbe unazifahamu hizi njemba za Gotham...!
Weee mimi ni housegirl, boss wangu yuko serikalini alihamishiwa dodoma ila familia yake iko dar hivyo huwa anaenda kuiona mara kwa mara, kwahiyo akienda dar lazima niende naye na dodoma lazima nirudi naye
Acha uongo binti🚮Umefunga PM ndio shida😂😂
Nifanyie mie Ka upendeleo basi 🍯Umefunga PM ndio shida😂😂
Achana na maneno ya DarlinNifanyie mie Ka upendeleo basi 🍯
Basi wazee kama hawa vijana wa hovyo hamuwezi kushindana nao kabisa humu ndani 🤣😅😅 huyu mzito sana.. IO ( kama msoma Cuba vile )
😅😅😅😅😅 House girl unatembelea GXR LC300Weee mimi ni housegirl, boss wangu yuko serikalini alihamishiwa dodoma ila familia yake iko dar hivyo huwa anaenda kuiona mara kwa mara, kwahiyo akienda dar lazima niende naye na dodoma lazima nirudi naye
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli pachaaa 😊😊Achana na maneno ya Darlin
Ngoja nikuunganishe na mwamba mmoja humu anaishi Marekani, atakusaidia.....Sasa wewe utaki kunipa pasi itakuwaje bupe akiniona narudi mjini na shangazi kaja atanicheka mzee
Niende marekan etNgoja nikuunganishe na mwamba mmoja humu anaishi Marekani, atakusaidia.....
Hiyo Hotel naisikia tu, sijawahi hata kuiona, Jina gani tena hilo linaanza na E [emoji16][emoji16]sawa hapo sawaa.. umefikia Esperanza hotel... Au na jina linaanza na E [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Basi Batman nimezifuatilia kitambo hata kabla hamjaletewa DVDsbig fan aisee wa the 'caped crusader'😁
Naam, tufanye mpango nawe uende Mamtoni..Niende marekan et
hausomi the comics😅Basi Batman nimezifuatilia kitambo hata kabla hamjaletewa DVDs
😅😅😅😅Basi wazee kama hawa vijana wa hovyo hamuwezi kushindana nao kabisa humu ndani 🤣
Huwa wanakuwa na mkono mrefu mno, PM zao zimejaa NEEMA na UTUKUFU tu...
Nimezisoma sanaaa mazee! Tena hard-copies....hausomi the comics😅
😅😅😅 Kesho nakuja Dom.. naanza safari alafjiri nitakuelea huko huko nikifika hiyo EHiyo Hotel naisikia tu, sijawahi hata kuiona, Jina gani tena hilo linaanza na E [emoji16][emoji16]