mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,805
dah, basi sawa hutaki kufahamiana tuje kusaidiana baadaeHali anakujua? Mmm sitak mazoea na mpenz wangu
dah, basi sawa hutaki kufahamiana tuje kusaidiana baadaeHali anakujua? Mmm sitak mazoea na mpenz wangu
nakudai ambayo macho hayajafunikwa😁Mimi tayari kitambo
Unisaidie nini mimi najiewezadah, basi sawa hutaki kufahamiana tuje kusaidiana baadae
Hata mimi namuona, anatoa msaada kama UNICEF kuwasaidia vijana mliopoteza mwelekeo.. 🤣
😅😅😅 Kuvunja sheria za nchi direct msalaaa... Najua ataingia kwenye 18 zangu atatoa na riba. Sema kalivyo kazuri na kisauti chake.. unaweza poteza malengo dk moja strong dk moja unapoteza network ...Ningekushauri kitu, ila ntakuwa navunja sheria za nchi...
Naomba tuachie boss wetU usimfananishe na unicefHata mimi namuona, anatoa msaada kama UNICEF kuwasaidia vijana mliopoteza mwelekeo.. 🤣
Bila shaka mnatuandalia series nyingine nzuri eh[emoji1477][emoji1477][emoji1477]
Ni mpoa kuliko watu wanavyomfikiria!
ndio aisee tupate hata vimb vya kuperuzi jf😁Hata mimi namuona, anatoa msaada kama UNICEF kuwasaidia vijana mliopoteza mwelekeo.. 🤣
😉😉😉😉☺️☺️💺💺Akitoka Ms eyes nafata mimi😂😂😂
Sijaona sasa jamanMimi tayari kitambo
dah, dunia duara broUnisaidie nini mimi najieweza
Izungukedah, dunia duara bro
UNICEF ndiyo wanatoa msaada kwa vijana special group kama wewe....Naomba tuachie boss wetU usimfananishe na unicef
Utakimbia wewenakudai ambayo macho hayajafunikwa😁
Zamu yako leoSijaona sasa jaman
Mie ndio nimeamka
Niko kwa Boss wangu [emoji3][emoji3][emoji28][emoji28][emoji28] Kama kawaida yakooo...
Chamwino moja ninii
mi muoga ila sio kiivo😁Utakimbia wewe
Kwahiyo mimi special group please kak nitoe haraka Kwahiyo Mjep ni charity organisation?UNICEF ndiyo wanatoa msaada kwa vijana special group kama wewe....
Huu mfano ni halisi na dhahiri kabisa 🤣 🤣
hivi hiyo id 'the boy wonder' ina maana gani mkuu😅UNICEF ndiyo wanatoa msaada kwa vijana special group kama wewe....
Huu mfano ni halisi na dhahiri kabisa 🤣 🤣
Yani vocha inawekwa hata dakika haimalizi unaambiwa ishajazwa na namba inayoishia 3456..ndio aisee tupate hata vimb vya kuperuzi jf😁