Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,181
Si unajua tena usanii nilisomea😅sasa mbona ulikua unajifanya mtakatifu unashangaa😂
Si unajua tena usanii nilisomea😅sasa mbona ulikua unajifanya mtakatifu unashangaa😂
shem vipi lakini, anaendeleajeAtakama ndio ziwe kama utepe wee diamond
unantamanisha tena😂Si unajua tena usanii nilisomea😅
Nije 😊😊Si unajua tena usanii nilisomea😅
Anakuhus nini wewe wewe huna demu? Nipo singleshem vipi lakini, anaendeleaje
Embu lala ukoNije 😊😊
Ila sema ukweli braza, hivi hukutoa machozi hata kidogo baada ya hili tukio ?Nita mdakaa , baada ya pale alienda kusoma.. namfahamu hadi huwa namfuatilia kimyaa kimyaaa bila yeye kujua... Nitalala nae mbelee 😁😁😁..maana sina utajiri WA kuchoma hela yote hiyo
Dak za majeruhii hizi kijanaaa 😅😅😅.. ongeza forwardEmbu lala uko
dah, namjulia tu haliAnakuhus nini wewe wewe huna demu? Nipo single
Nakuja na wewdarlin unafeli,
dah😅
Hali anakujua? Mmm sitak mazoea na mpenz wangudah, namjulia tu hali
Ngoja niamke naend kuangalia mpiraDak za majeruhii hizi kijanaaa 😅😅😅.. ongeza forward
Huyu jamaa ni Lecturer wa MUST ?selfika lecturer wa MUST
Niliumia sana, hasa baada ya kujua alinichezea mchezo.. Baadae akaja kuni please sana .. Ila akakwepa kabisa kunionaaa hadi siku anaondokaaa...😅😅😅.. kalikuwa kanapenda kuniita mentor, kumbe alikuwa ananiuaaaIla sema ukweli braza, hivi hukutoa machozi hata kidogo baada ya hili tukio ?
Mimi hata nikiwa kwenye Pub huwa naumia sana navyotumia pesa yangu...
filter gani we mwenyewe ni filter tayari😂Nakuja na wew
Naiekea filter😂😂😂
Nakusubiria hapa ujue🤗Nije 😊😊
Ningekushauri kitu, ila ntakuwa navunja sheria za nchi...Niliumia sana, hasa baada ya kujua alinichezea mchezo.. Baadae akaja kuni please sana .. Ila akakwepa kabisa kunionaaa hadi siku anaondokaaa...😅😅😅.. kalikuwa kanapenda kuniita mentor, kumbe alikuwa ananiuaaa