Gordon Novel
Senior Member
- Dec 21, 2011
- 143
- 241
Kumbe ameselfika mm nimejizeekea aunt ngoja nione kama Kuna picha mpya
Agizia chips yai hapo nakulipa
👊🏾👊🏾👊🏾Ahahahha namkubaligi sana life lake ni role model wangu
Embu nipe namba yake👊🏾👊🏾👊🏾
Ni mpoa kuliko watu wanavyomfikiria!
Anawaogopa vijana wa hovyo, hamna masikhara kabisa! 🤣 🤣
😁😁Embu nipe namba yake
Daaah, mwamba umeanza wikendi Alhamisi yani....Thursady..
View attachment 2694636
Daaah, mwamba umeanza wikendi Alhamisi yani....
Mm nimejifunza judo nitampiga😁😁
Unataka nile makwenzi nikionana nae???🙄🙄
Mkuu lete funguo ya gar na wallet nikushikieThursady..
View attachment 2694636
Mkuu lete funguo ya gar na wallet nikushikie
Shukrani mazee, mimi niko kwasasa GPS inasoma Dodoma.Mapema tu jamaa yangu, karibu Victorious kama upo maeneo ya bukoba..
Shukrani mazee, mimi niko kwasasa GPS inasoma Dodoma.
Wewe ukifika nistue tu mazee, mpaka mwisho wa mwezi ntakuwepo Dodoma.Nadondoka huko mwezi huu mwishoni tukitane hapo PJ mitaa ya uhindini chifu..
Wewe ukifika nistue tu mazee, mpaka mwisho wa mwezi ntakuwepo Dodoma.
Mayonnaise mbona hajawekaMkuu sina gari namiliki miguu yangu tu hapa, karibu boneless chicken na chips
View attachment 2694652
Mayonnaise mbona hajaweka