Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,266
- 108,257
Hahaha...nakuzoom na cheko lako hilo

Hahaha...nakuzoom na cheko lako hilo

Umefurahi sana wewe...
Wakati hapa tunakuna vichwa hyo id kongwe ya dada yetu Priscilla ni ipi![]()
😁😁😁sasa ile si stor tu..yule ni njemba bana jamiii yakina msubate
HIV si kama malaria tu
![]()
Sio malaria bhana
Hiv ni kama mafua tu![]()
Huyu lazima alichukua muda mrefu kunyanyuka hapo!Mie nipo kazini hapaView attachment 1217489
BVLGARI, BVLGARI, BVLGARI, BVLGARI, BVLGARI, BVLGARIView attachment 1275175
😂😂😂😂malizia basii
Yule jamaa hapana aisee, ila nahisi ni.....
Rainbow ya Dodoma?Wale wa MM
Tukutane Rainbow baadaye..
hii mixture ni 🔥🔥🔥
Mambo bebiRainbow ya Dodoma?
bro your collection is sick!BVLGARI, BVLGARI, BVLGARI, BVLGARI, BVLGARI, BVLGARIView attachment 1275175
👏👏 asante kwa tahadhari mpendwaIla jokes aside, tulindeni afya zetu kwa gharama yoyote maana ndipo ulipo uhai wetu...
Watu wanatabika sana ambao afya zao zimeenda mrama, si kwa HIV tu bali na hata maradhi mengineyo yasiyo na tiba kwa sasa...
Kwa mtu anayeona uhai si kitu muhimu, hebu siku moja tukupe tour ya bure katika wodi za magonjwa haya...
Poa, niaje?Mambo bebi
Wasimbe hao lazima niwaseme na badooo yani yanajikuta maBeyonce kumbe ya hovyoo
Ukishaanza ona bati za kutu kutu