mfate42
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 4,061
- 4,847
Blaza Ni raum hiyo?
Double double, on the rocks.
Blaza Ni raum hiyo?
Double double, on the rocks.
Unafikiri kakuacha basiiii, kina dula wanamchanganya tu kichwa. Akili zikirudi i hope it wont be too late. Kila jukwaa ana dula wake![]()
Ntakuwepo baadae hapo ila nitakaa kwa nje![]()
Ukishaanza ona bati za kutu kutu
Juwa nyumbani Dar es saaalam iyo.
Hahaha!
Nakumbuka yale maswali yako jamanikwa yule mrembo!



Nimefanyaje mimi?Teh teh teh teh teeeeeeeh!! Mkwe bwana!
Hapa tunaweza kupata geographical coordinates kwenye picha, halafu mara paap, tunajialika wenyewe.View attachment 1275220
Cha mtaani
We njoo upate "tour" labda utabadilisha hiyo kauliUsitutishe bwana!

View attachment 1275220
Cha mtaani
Uzi umevamiwa tayari!
Haina neno Mkwe...
Ngoja nipate kinywaji hapa wakati nawaza kulea wanangu...



