Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Rest in peace baba J jamaniSakayo unataka nikajirushe juu ya jengo la Nssf?
Rest in peace baba J jamaniSakayo unataka nikajirushe juu ya jengo la Nssf?
![]()
Ushuhuda wangu: Mimi ni muathirika wa HIV (HIV Positive)
First, let me declare kwamba mimi ni member wa muda mrefu humu JamiiForums na nimependa kuja nah hii ID mpya ili kuweza kuficha utambulisho wangu wa hapo mwanzo, ili kuepeuka mambo kadhaa kutoka kwa member ambao nimebahatika kuonana/kukutana nao. Naitwa Priscallia (si jina langu halisi) na umri...www.jamiiforums.com

Zimefanya nini eti jamani mgangaMabavu yangu eehh![]()
JamaaniiiMunde
Hahah dah umenifanya nicheke kwa sauti, nilikuwa naulizia tu taratibu za kwenda visiwani mkuu...
Yaliishia palepale

Aiseee
😂😂😂😂 HIV si kama malaria tu 🏃🏃proffesa yupo uko uko unapokimbilia😛😛.
.Nikuulize wewe!!

Pole sana.
HahahaaaProf hakimbiwi...atakufuata huko huko
![]()
Ushuhuda wangu: Mimi ni muathirika wa HIV (HIV Positive)
First, let me declare kwamba mimi ni member wa muda mrefu humu JamiiForums na nimependa kuja nah hii ID mpya ili kuweza kuficha utambulisho wangu wa hapo mwanzo, ili kuepeuka mambo kadhaa kutoka kwa member ambao nimebahatika kuonana/kukutana nao. Naitwa Priscallia (si jina langu halisi) na umri...www.jamiiforums.com
Ntameza pep...mwambie aje 😂Prof hakimbiwi...atakufuata huko huko
Ukifika kule kandete_ mwakaleli niliposkulia hakika kule wanauwona kama malaria.😂😂😂😂 HIV si kama malaria tu 🏃🏃
😂😂 Mafua yanaboa bana, bora malariaSio malaria bhana
Hiv ni kama mafua tu![]()