Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Humu ni pazito![]()
Ushuhuda wangu: Mimi ni muathirika wa HIV (HIV Positive)
First, let me declare kwamba mimi ni member wa muda mrefu humu JamiiForums na nimependa kuja nah hii ID mpya ili kuweza kuficha utambulisho wangu wa hapo mwanzo, ili kuepeuka mambo kadhaa kutoka kwa member ambao nimebahatika kuonana/kukutana nao. Naitwa Priscallia (si jina langu halisi) na umri...www.jamiiforums.com






