Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,108
- 41,774
Ana kweli Dunia hiišš
Ana kweli Dunia hiišš
Namuwakilisha kampyuku wanguš
Yeah azam takeaway pale š¦š
Taflani kwa kweliš¤£š¤£Ana kweli Dunia hiišš
Hadi aje yeye, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Namuwakilisha kampyuku wangu[emoji7]
Amenituma nimuwakilishe
Thanks for this by the way....ššDNA km DNA
Halali wawe wanakataza au kuweka bei kubwa, upimaji wake.
Maana ni hatarii sasa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2686689
Aahh huku niliko sidhani kama utapaweza aseeNiunganishe mimi kwenye kazi ya uhousegirl
Nipo serious.
Niliona ABC wametangaza nafasi ya kazi
Bus hostess.
Jaribu huko.
Gari yao uhakika,Route ya Mbeya ipo na ndio gari ya uhakika siku hizi.
Ndugu zako Sauli wamegeuka matapeli baada ya biashara kuwashinda[emoji1787]
Nataka nikusaidie lkn siamini km kweli usemalo, ujue humu wengi tunaamini mko vzrMnataka hadi nife njaa ndo muanze kusema tungemsaidia
Acha utani AnneMnataka hadi nife njaa ndo muanze kusema tungemsaidia
Sasa kama we huna kazi ,kwann usiombe hapo ABC ?unamwambia mwenzako ajaribu we hutaki?Niunganishe mimi kwenye kazi ya uhousegirl
Nipo serious.
Niliona ABC wametangaza nafasi ya kazi
Bus hostess.
Jaribu huko.
Gari yao uhakika,Route ya Mbeya ipo na ndio gari ya uhakika siku hizi.
Ndugu zako Sauli wamegeuka matapeli baada ya biashara kuwashinda[emoji1787]
Umeona eeh, analeta utaniAcha utani Anne
Ukweli ni kwamba hata upigike kiasi gani sio kila kazi yafaa kufanya.Umeona eeh, analeta utani
Hii ni kweli kbs mkuu nakukubalia, ila sidhani huyu mdada yuko serious, ni changamsha jukwaa tuUkweli ni kwamba hata upigike kiasi gani sio kila kazi yafaa kufanya
Sasa hii kama anatania, siku akiwa serious itamgharimu sana kuwa hamaanishi piaHii ni kweli kbs mkuu nakukubalia, ila sidhani huyu mdada yuko serious, ni changamsha jukwaa tu
Mie naona anatania tuSasa hii kama anatania, siku akiwa serious itamgharimu sana kuwa hamaanishi pia
5 Umkabidhi Bwana njia yako, Pia umtumaini, naye atafanya.MITHALI 30:8-9
āø Uniondolee ubatili na uongo; Usinipe umaskini wala utajiri; Unilishe chakula kilicho kadiri yangu.
ā¹ Nisije nikashiba nikakukana, Nikasema, Bwana ni nani? Wala nisiwe maskini sana nikaiba, Na kulitaja bure jina la Mungu wangu.
HILO NDILO NENO LA MUNGU
Sent using Jamii Forums mobile app