Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,555
Kana mtu😊naona kibinti hapo😋
Kana mtu😊naona kibinti hapo😋
Utaiweza ile body wewe 😂Thubutruuuu nintakubaruzaaaa hadi usahau njia uliyojia🤠🤠!
penye nia pana njia mzee....Kana mtu😊
Miss u so much...hope ur in Dar😊Darling
Sasa wee jichanganye ndio utajua naiweza ama lah☺️☺️😁😁!!Utaiweza ile body wewe 😂
Acha nimsubiri my babe Ms eyespenye nia pana njia mzee....
We mzee wa kisimiri, nasikia jana huko baridi ilikuwa balaapenye nia pana njia mzee....
Miss you more, still in Moro🥴.Miss u so much...hope ur in Dar😊
😂😂😂 Labda unipige na hako ka baby face.Sasa wee jichanganye ndio utajua hujui ☺️☺️😁😁!!
safi, hujakosea hapo😂Acha nimsubiri my babe Ms eyes
Sad.Miss you more, still in Moro🥴.
ilikua 9 degrees usiku😬We mzee wa kisimiri, nasikia jana huko baridi ilikuwa balaa
Oyaa umejuaje huyu mtoto ni mkaliiisafi, hujakosea hapo😂
Mabati....😁Daaah, naona Lizzy umevaa Kitto.....
Uncle wangu ananipaga stori Mrema alikujaga Shy hiyo 95 kwenye kampeni.Baada ya kupiga kampeni jioni wakajisogeza hoteli kuanza kugawana vyeo .Yeye alipewa kuwa mkuu wa mkoa wa Shinyanga,kilichompata alikimbilia Dar kubangaiza.Alikuwa anakubalika san, watu wakamwambia hakuna kuwasha gari, wakalisukuma mpaka uwanja wa zimani moto🤣 na bado hakushindaaa
Polen sana. Kuna mtu alinitumia mafinga ilikuwa 5ilikua 9 degrees usiku😬
hukumbuki aliselfika humu😅Oyaa umejuaje huyu mtoto ni mkaliii
Weee nipo Tz hehehhe