Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 20,263
- 49,203
Pole sana utakuwa sawaMacho yanasumbua kiasi.
Umetumia dawa?
Pole sana utakuwa sawaMacho yanasumbua kiasi.
Halafu Kuna walioheshimiwa wakapewa jina la Mtume Mohamed🤣🤣🤣🤣🤣Yaani
🤣🤣🤣Intavoo ya wazee tena race hiyoo, mie kabla sijamalizaa washania kazii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bila kusahauAkina Martin wanajiita Tinny eti
Motoni wote hawa.
Kuna uzi humu upo wa majina ya kike pasua kichwa.Mkirudi na majina ya kike, mnistueee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haha Hawa Wana matabakHalafu Kuna walioheshimiwa wakapewa jina la Mtume Mohamed
Wanajiita Mudi eti Mo
Hawa na akina Chriss ndo wataongoza Kuni Za VIP
Yule.Johua aliyekabidhiwa kijiti Cha uongozi na akina Musa,akija kuwaona akina Josh,J atalia sana.Bila kusahau
Joshua et josh upuuz tu 😂😂😂😂
😂😂😂😂Anaweza kuzimia 😂😂Yule.Johua aliyekabidhiwa kijiti Cha uongozi na akina Musa,akija kuwaona akina Josh,J atalia sana.
Ninywe nini sasaHiyo ndio laini zaidi
Sina, Tinsley kazificha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ntakubondaaaa wee, au nikukamue njugu 2 hizo.
🤣🤣🤣
Ni kutokana na Hali ya hewa tu. Nilishawahi kupata ajali nikapata skull fracture (Fuvu la kichwa Lilipata ufa kidogo), Huwa inatokea tu lakini itakaa sawa tu.Pole sana utakuwa sawa
Umetumia dawa?
Akina Martin wanajiita Tinny eti
Motoni wote hawa.
Usijali nipo hapa chiefPicha zinagoma Yani wew kunishinda Mimi nastaafu rasmi kupika
Mwez wa nane natak mnisaidie kuandaa menu chakula Cha watu 30 mnipige na maombi 🤣🤣🤣
Mwachiluwi
Ooh pole upone haraka mpendwaNi kutokana na Hali ya hewa tu. Nilishawahi kupata ajali nikapata skull fracture (Fuvu la kichwa Lilipata ufa kidogo), Huwa inatokea tu lakini itakaa sawa tu.
Aache kuleta ulozi wa nyasa🤣Nipo vyedii sana rafiki!
No way kila mmoja ashinde mechi zakee tyuuuu asiwawangie bado mchana kweupeeee kabessa banaa!!😁😁
Fanyaa ukanitag hukooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna uzi humu upo wa majina ya kike pasua kichwa.
Nikiupata ntakutag ucheke.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nilishapona hata huo ufa ulishaziba kwa uwezo wa Muumba. Sometimes Ukuu wa Allah ni wa juu Santa kuliko hata mambo yote yanayotupata kwenye huu ulimwengu tunaoishiOoh pole upone haraka mpendwa