Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 20,263
- 49,203
Really Mungu anatupenda sana hakuna kubwa kwakeNilishapona hata huo ufa ulishaziba kwa uwezo wa Muumba. Sometimes Ukuu wa Allah ni wa juu Santa kuliko hata mambo yote yanayotupata kwenye huu ulimwengu tunaoishi