Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wana selfika kama una kijana mwaminifu na anaweza kufanya kazi vizuri yupo tu nyumbani nicheki pm nahitaji vijana kama wa 7 hivi hawa wawe dar na kesho waje ofisini kuanza kazi tutawapa trending kwaza ambayo ndio kesho lakini pia nahitaji vijana walipo tanga wawe wengi kidogo hawa kazi yao itaanza mwezi uhuu kuhusu mshahara tuna lipa kulingana na dodos ambapo huwa zina badirika sisi hatuna mshahara tunalipa wages lakini pia mtu huyo awe na nssf kadi na TIN number kutoka TRA

Please hawe mwaminifu na kazi zetu mara nying ni nje ya mkoa please hawe mwaminifu sito pendezwa nikipata kijana ajae anisumbue au mtu unampa trening af anakimbia mitini nawasilisha kwenu
 
Ndo mazuriiii, [emoji8][emoji8][emoji182][emoji182]
Sahivi nanenepaa mie.
Hadi nataka nijikondeshee tenaa.
Konda kama mimi😂
 
Attachments

  • Screenshot_20230713-125416.jpg
    Screenshot_20230713-125416.jpg
    148.8 KB · Views: 11
  • Screenshot_20230713-125518.jpg
    Screenshot_20230713-125518.jpg
    144.5 KB · Views: 9
Hilo gauni km shamba dress za Advance level, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umekumbuka shule au? Wee ni mnene bhanaa.
Hebu niacha na gauni langu[emoji23][emoji23][emoji174][emoji174][emoji174][emoji174][emoji174][emoji174][emoji174]
Nilinunua aftatu[emoji1787]
 
Wana selfika kama una kijana mwaminifu na anaweza kufanya kazi vizuri yupo tu nyumbani nicheki pm nahitaji vijana kama wa 7 hivi hawa wawe dar na kesho waje ofisini kuanza kazi tutawapa trending kwaza ambayo ndio kesho lakini pia nahitaji vijana walipo tanga wawe wengi kidogo hawa kazi yao itaanza mwezi uhuu kuhusu mshahara tuna lipa kulingana na dodos ambapo huwa zina badirika sisi hatuna mshahara tunalipa wages lakini pia mtu huyo awe na nssf kadi na TIN number kutoka TRA

Please hawe mwaminifu na kazi zetu mara nying ni nje ya mkoa please hawe mwaminifu sito pendezwa nikipata kijana ajae anisumbue au mtu unampa trening af anakimbia mitini nawasilisha kwenu
Kijana jinsia yoyote? If yes nakuomba pm hii fursa jobless mie itanifaa
 
Wana selfika kama una kijana mwaminifu na anaweza kufanya kazi vizuri yupo tu nyumbani nicheki pm nahitaji vijana kama wa 7 hivi hawa wawe dar na kesho waje ofisini kuanza kazi tutawapa trending kwaza ambayo ndio kesho lakini pia nahitaji vijana walipo tanga wawe wengi kidogo hawa kazi yao itaanza mwezi uhuu kuhusu mshahara tuna lipa kulingana na dodos ambapo huwa zina badirika sisi hatuna mshahara tunalipa wages lakini pia mtu huyo awe na nssf kadi na TIN number kutoka TRA

Please hawe mwaminifu na kazi zetu mara nying ni nje ya mkoa please hawe mwaminifu sito pendezwa nikipata kijana ajae anisumbue au mtu unampa trening af anakimbia mitini nawasilisha kwenu
Duuh hiyo kazi kiboko, tangazo la kazi halina hata job description, limekaa kama zile Amri za "marufuku kutupa taka hapa" [emoji16][emoji16]
 
Wallah shamba dress ya advance level, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utadhan binti wa 4m 6 aliyelala darasani baada ya bweni kufungwa hapo Loleza.
Khaaaaa 😂😂😂💔💔💔💔💔
Hebu niachie gauni langu la Loleza 💔😂
Tena ndo rangi hii hii
 
Wana selfika kama una kijana mwaminifu na anaweza kufanya kazi vizuri yupo tu nyumbani nicheki pm nahitaji vijana kama wa 7 hivi hawa wawe dar na kesho waje ofisini kuanza kazi tutawapa trending kwaza ambayo ndio kesho lakini pia nahitaji vijana walipo tanga wawe wengi kidogo hawa kazi yao itaanza mwezi uhuu kuhusu mshahara tuna lipa kulingana na dodos ambapo huwa zina badirika sisi hatuna mshahara tunalipa wages lakini pia mtu huyo awe na nssf kadi na TIN number kutoka TRA

Please hawe mwaminifu na kazi zetu mara nying ni nje ya mkoa please hawe mwaminifu sito pendezwa nikipata kijana ajae anisumbue au mtu unampa trening af anakimbia mitini nawasilisha kwenu
Dadavua kidogo Mkuu
Jobless tupo wengi ila tunataka kujua kwanza ni kazi gani
 
Khaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji174][emoji174][emoji174][emoji174][emoji174]
Hebu niachie gauni langu la Loleza [emoji174][emoji23]
Tena ndo rangi hii hii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shule nyingi rangi zinakua blue, light blue, na dark blue. Hata tracksuit pia.
 
Back
Top Bottom