Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23]
Na Yohana sikuizi eti ni akina John

Wanaume wakiingia Mbinguni sijui tutaona.
John umempendelea ni joh🤣🤣🤣
Yosef utasikia Jose au J😂😂😂😂😂
Hawa hawaendi
 
Ulitak ziwe kma katless[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nilitaka pika vibamaa, nisitoboe kati kati umbo lilivotokaa, kabla sijaanza kuweka kwa mafuta, mama aliharibu vyotee, na matusi juu " huo uwendawazimu kamfanyie marehemu shangazi yako makaburini huko mbwa wewee" [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nilitaka pika vibamaa, nisitoboe kati kati umbo lilivotokaa, kabla sijaanza kuweka kwa mafuta, mama aliharibu vyotee, na matusi juu " huo uwendawazimu kamfanyie marehemu shangazi yako makaburini huko mbwa wewee" [emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣🤣🤣Mama anateseka sana na mapishiyako
 
John umempendelea ni joh[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yosef utasikia Jose au J[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hawa hawaendi
Akina Yusuf
Akina Shwdrack Meshack na Abednego
Wanajiita Mesha.

Kweli ni rahisi ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko wanaume kuingia ufalme wa Mungu.
 
Kwanza nani atawaruhusu?
Ukiona umekutana naye mmoja ujue umepotea njia

Ni jehanam huko[emoji38]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Na walivyo vipofu wa mambo mazuri, hawawezi ona njia ya mbinguni hao viumbe
 
Wenzao akina Ishmail wapo peponi huko
Ila siku hizi wanajiita sheik Ubwabwa.

Akiyanani

Joshua
Wanajiita J...ujanja mtupu.

Hawa akina Adam ndo kabisaa
Ismaïl wanaitwaa Suma
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Eeh [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wakachomeke motoni kidogo, wakitia huruma na kuomba msamaha ndio tuwaombee waingie mbinguni
Kuna uzi nimesoma asbh
Dada analalamika mumewe anacheat.

Akamkamata mara ya pili na msg,akakataa.


Wanaume wanachangia eti kwanza huyo mwanaume anajua principles za kuchepuka..
Rule no1 ukikamatwa ni kukataa,kutokiri kosa hadi kiama.

Hawa labda watengeneze mbingu yao.
 
Back
Top Bottom