Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,171
🤣🤣🤣Kiukweli hawana jema 😀😀
Haya ni masuala mtambuka🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣Kiukweli hawana jema 😀😀
Haya ni masuala mtambuka🤣🤣🤣🤣
Au nawee uko ktk makoro koro ya mafungu? Jero kwa buku kutokana na kipimo??Picha tu dear au sijui sikuhiz nakunywa maji mengi
![]()







🤣🤣Ndo yapi hayoAu nawee uko ktk makoro koro ya mafungu? Jero kwa buku kutokana na kipimo??![]()
😂😂😁🤣🤣🤣🤣! Wee akili yako si unaijua mwenyewe!!mie kupika hadi nitake, G nikiendaga kwake utasikia "ukiwepo km haupo sasa ndo nn aaah" namjibu nitue wee kaka mie sio hausigeli wako, na sijaja hapa kukupikiaa, kabla ya kukutana na mie alikua anakupikia nani? Hapo buzzy kuswama mitandaoni sina habari, akipika fastaa nshagoza makalio kulaa.
![]()
Kuacha hata siku nzima.Wew Mwalimu kabisa ila nilichogundua Siri ya chapat nzuri ni kuacha ngano Kwa muda hata saa 1 baada ya kukanda
Nilipewa Kaz ya kuwapikia watu 8 chakula nikakanda ngano saa 11 nikarudi kulala nikachelewa kuamka sikuziroll na zimetoka lain ajabu
Unapika anakula anashba anapata nguvu ya kusema sikutaki 🤣🤣🤣🤣
bahati mbaya Intelligent businessman hayupo😂
Jero kwa buku Kutokana na kipimo 🙌🙌🙌🙌🤣🤣🤣🤣!Au nawee uko ktk makoro koro ya mafungu? Jero kwa buku kutokana na kipimo??![]()
Kuna jirani yangu alipika kma CD🤣🤣🤣Kuacha hata siku nzima.
Chapati hazitaki haraka.
Sasa zile za kukanda na kuchoma hapohapo lazima chapati itoke ngumu.
Just imagine 🤣🤣Unapika anakula anashba anapata nguvu ya kusema sikutaki 🤣🤣🤣🤣
😂😂😂Utakufa Kwa kuzagamuanaYaan nna upwiruuu hadi ute ute unachafua kyupii shangaziii
![]()
Alipika Kaukau 😂😂☺️!!Kuna jirani yangu alipika kma CD🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣Just imagine 🤣🤣
Hao wakifa waoze tu ndani ya sekunde hamna namna
Alafu alipika za familia nikaona aibu mumewe sijui alijisikiaje🤣🤣😂🤣🤣Alipika Kaukau 😂😂☺️!!
Chapati nyokoo Sana zikikuamuliaa kukuaibishaa ni zinakua kaukauu kabisa 🤠🙌🙌🙌!!
Hadi ute ute kama wotree lol Upo kwenye ovulation udugu sio buree!! 🤠Yaan nna upwiruuu hadi ute ute unachafua kyupii shangaziii
![]()
😂😂😂Atakuja tubahati mbaya Intelligent businessman hayupo😂
Hahahaaa.. chapati nuksiii kama huzijulii vizuri lazima zikutoe nishai!😁Alafu alipika za familia nikaona aibu mumewe sijui alijisikiaje🤣🤣😂🤣🤣
kapoteza password😂😂😂Atakuja tu
Shangaziii mnifunde kuhusu kupikaa, sio kwa uvivuu huu.Mwali wangu uvivu
Ila kupika hobby aisee





