Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 20,261
- 49,198
Umepika mwenyew?
Umepika mwenyew?
sinaga huo utoto mimiWanachuo mkikutana sasa ee UE ilikuwaje?
Next week nafikir wiki hii ni bites Nina mood nazoNimemiss kek zako unapika lini tena nije kule?
Una utoto upi?sinaga huo utoto mimi
Andaa bisikuti sasaNext week nafikir wiki hii ni bites Nina mood nazo
we nichokoze😀Una utoto upi?
Maana uko nimeona wanakusimanga kila.demu humu wewe unamtaka eti macho yako kama jua upitwi na kituwe nichokoze😀
Zinaonekana.soomth sanaTayar mbona View attachment 2682169
Yah tamu sana za tangawizi Zina ladha flan hivZinaonekana.soomth sana
Nazipataje sasa.mpemba.wanguYah tamu sana za tangawizi Zina ladha flan hiv
Ngoja nikufanyie utaratibu uzipateNazipataje sasa.mpemba.wangu
That why I love you ukifa wewe hauozi na ukioza unuki na ukinuka haupukutikiNgoja nikufanyie utaratibu uzipate
😂😂😂That why I love you ukifa wewe hauozi na ukioza unuki na ukinuka haupukutiki
Sasa ulivyo na roho safi kama.maj ya.kilimanjaro
HureeeeeDepal njoo uchukue zawadi kutoka Kaskazini, Magharibi, Mashariki na Unguja!View attachment 2682164
Nimetamani
oya hizo MB 2.2 utanisamehe sifungui😂Samsung picha ziro nimeamua niwe na.simu mbili ya picha na.ya maongezi mshamba_hachekwi nikuazime moja?