Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,249
Raba Kali
Socks safi
Hongera Mkuu,upo miongoni mwa wanaume wasafi
Raba Kali
Miguu ya BabaHahahaha uko vzr
Warmly welcome mnywanii!! Nitafurahijeeeee kukuonaaaa!!Itabidi nije nyakibo kabisa waitu
Si ticha wa mathematics Yupo lakini mnywaniWarmly welcome mnywanii!! Nitafurahijeeeee kukuonaaaa!!
Nakukumbusha Huku baridi kama ulayaaaa😁☺️!!
Yupooo veree veree Usijareee kabesaaa mnywanii!!Si ticha wa mathematics Yupo lakini mnywani
Aya sinzia mtoto mzuri usije uka type bure maluwe maluweYupooo veree veree Usijareee kabesaaa mnywanii!!
Nipo kama gaidi tu 😅😅😄😄😄 Mjomba inaonekana wee enzi hizo ulikua mkorofi sana wewe😊😊!!
Acha utani basiMiguu ya Baba
Poa kipenziMambo
Jana nilikuwa naangalia Mwakasege nikasema Tina jamani 😍😍
Yes sweetie huwa namfuatiliaPoa kipenzi
Ndio tupo morogoro kesho tunamaliza..
Jmn nimefurahi kumbe na ww Huwa unamfuatilia!
Good morning chief
Hahaha...............kwa Umri huu wa miaka 82 bado nastahili kuitwa BabuGood morning chief
Nasikia siku hizi hutwi babu tena
Unaitwa Baba P
Looh 🤣🤣🤣Kusutwa ndio Sunnah😂😂😂
Ndo nzuri hiyo 😀😀😀Looh 🤣🤣🤣
Kusutwa ni aibu sana tena, Me usutwe na Ke.
Mambo ya mlendaOyaaa vitu hivi uko usambaani huvipati toroka uje huku itobo we mzee sumbai
View attachment 2681848
cc Aaliyyah
Waambie nataka mzubooo! Utaletewa miksa karanga. Hapo ugali nusu kilo nakata Kama kawaida yanguMambo ya mlenda
Lips 👌😀😀nimekuwa bonge
Wakioniona wanaonidai naweza fungwa 😂😂View attachment 2681840
Mmeanza 😀😀subirini kwanza ninenepe kidogo ndo mnidaiLips 👌
Mimi nakudai aunt