Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Niandikie hata pm please [emoji3064]
Hapa yaweza leta maneno

Nizamie PM iko wazi[emoji847]

Mie humu nishawahi chukiwa na mtu,nikajengwwa chuki kama chui utadhani nimeua,kumbe aliambiwa maneno ya uongo,akayabeba na kuhukumu bila hata kuniuliza.
Nashangaa urafiki umekata juu kwa juu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji91]
Humu sio poa
Yaani hapa tunacheka wote kumbe sio ,

Watu wana yao huko huko nje
Duh pole sana

Mie msiri kidogi 😂😂 , yaani sio maana sana .
 
Back
Top Bottom