Manyanza
Platinum Member
- Nov 4, 2010
- 20,008
- 45,721
Uzuri kwamba nilikuwa siongei wala kuwajbu, walipomaliza kunisuta nikawa naondoka wakaanza kunizomea 🤣🤣🤣😂😂😂😂Sipati picha ulikuwa kma umemwagiwa maji ulivopoa
Uzuri kwamba nilikuwa siongei wala kuwajbu, walipomaliza kunisuta nikawa naondoka wakaanza kunizomea 🤣🤣🤣😂😂😂😂Sipati picha ulikuwa kma umemwagiwa maji ulivopoa
Hahaha haha,ok ,miaka ya 90s nilikua na totoz alisoma hapo ,anakaa chang'ombe madukaniPale pale Mkuu.
HahahahahaUzuri kwamba nilikuwa siongei wala kuwajbu, walipomaliza kunisuta nikawa naondoka wakaanza kunizomea 🤣🤣🤣
Ukijbishana na hawa watu unachochea moto, bora kunyamaza tuHahahahaha
Kabisa mkuu, tatizo sina uzoefu nao ,nimesoma boys mwanzo mwishoUkijbishana na hawa watu unachochea moto, bora kunyamaza tu
😂😂😂😂😂Uzuri kwamba nilikuwa siongei wala kuwajbu, walipomaliza kunisuta nikawa naondoka wakaanza kunizomea 🤣🤣🤣
Hata Mimi Songea Boys na Azania lakini kusoma sana vitabu inasaidia kuwajua hulka zaoKabisa mkuu, tatizo sina uzoefu nao ,nimesoma boys mwanzo mwisho
Yaani Mabinti wale, Halafu hata sikuwa na kosa kabisaaa😂😂😂😂😂
😀😀Itakuwa badae uliumiasanaYaani Mabinti wale, Halafu hata sikuwa na kosa kabisaaa
Azania ,aza poundHata Mimi Songea Boys na Azania lakini kusoma sana vitabu inasaidia kuwajua hulka zao
Mwaka 2007#Tbt
View attachment 2681916
Huu mwaka
mshamba_hachekwi yupo shule ya msingi ana struggle kuandikia pensel
Lovelovie yupo darasa la nne au la tano
Saint Anne yupo form four huka akiwa ni Mwalimu wa Sunday School Kanisani
Aaliyyah yupo form two anajiandae na mock 😂😂😂
Tinsley yupo Boarding ya kishua darasa la tano
To yeye yupo form three halafu ana limwili likuubwaaaa
👍🍹Mwaka 2007
Safi sana
Kisa chenyewe ni cha ajabu sana aisee, ofcourse baadae nilimsimulia Mshikaji Yeye ndio akaumia kuliko Mimi na akanishawishi tukaanzishe vurugu kwa yule Binti mmoja ambaye ndiyo alikuwa chanzo.😀😀Itakuwa badae uliumiasana
Manyanza kumbe mzee kabisa😂2007
Hiyo misuto ni ya kawaida sana 😂Kisa chenyewe ni cha ajabu sana aisee, ofcourse baadae nilimsimulia Mshikaji Yeye ndio akaumia kuliko Mimi na akanishawishi tukaanzishe vurugu kwa yule Binti mmoja ambaye ndiyo alikuwa chanzo.
Kisa chenyewe ni hivi
Huyo binti alikuwa anaitwa J, sasa huyo Binti alikuwa anaishi kwa Bibi yake na tunatoka wote kanda ya Ziwa na Mimi Kilugha naongea vizuri sana na Bibi yake nilikuwa napiga naye sana story kwa Kilugha na alikuwa anafurahi sana. Sasa akawa anamzingua huyo Mjukuu wake J unamwona huyu Kijana tena wa Nyumbani kabisa na mzuri halafu Mchangamfu na misifa kibao ya yule Bibi. Si unajua Bibi utani mwingi na Mjukuu na Mimi nikawa namwambia kimasihara nakuacha Wewe nachukua Mchumba mwingine 😂😂
Sasa ule utani yule J nadhani alichukulia serious kuwa Mimi namtaka coz nilikuwa namzingua Bibi yako kaniruhusu we uwe GF wangu. Yule binti alikaa na lile wazo kichwani na akawa anafikiri hivyo. Mpaka shuleni akawa anatamba kwa mwenzake. Huyo Mwenzake ndio alikuja juu sana na ndio chanzo cha Mimi kusutwa maana waliniweka kati yaani nani ninampenda kati ya J na M. Yaani ulikuwa ni msuto wa kiboya sana kwa jambo ambalo halikuwa halisi. 😂😆😆😆
tukikutana huko nje sijui kama tutataniana hivi😂 watu ni wazee....Wa long time naona
16 years ago
Haha kawaida yanitukikutana huko nje sijui kama tutataniana hivi😂 watu ni wazee....
Pole sana8th July, I'll never forget this date. I just lost my mom today, may she rest in eternal peace [emoji2731][emoji2731][emoji24][emoji24]