BARDIZBAH
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 6,417
- 12,985
Usiniambie na nyie wa kishua mlikuwa mnaenda ujasi😂[emoji23]mwaka wa 2 mbona michache bado[emoji23]
Masenior jobless tunaenda mwaka wa 10[emoji16]
Sema nimemiss ule upepo, na Ujasi.
Usiniambie na nyie wa kishua mlikuwa mnaenda ujasi😂[emoji23]mwaka wa 2 mbona michache bado[emoji23]
Masenior jobless tunaenda mwaka wa 10[emoji16]
Sema nimemiss ule upepo, na Ujasi.
Ukishua gani huoUsiniambie na nyie wa kishua mlikuwa mnaenda ujasi😂
Injili inahubiriwa kwa namna nyingi..Injili au mapicha picha halafu hata sura haionekani??? Jiamini bhana kujificha ficha inaonesha hujiaminii
Jaman,wasifanye hivyo .....wanataka nikae useja mpaka lini Laaziz?😔😥Mod wana wivu kweli kipenzi.. nimekufungulia uzi wame ufuta 😭😭😭
Bado upo?
Mama yeyo nmeku mic sana afu nina maua yako hapaPoaaa
Ah usiwazeNi nini kwani
Nihadithie kidogo,napitwa na mengi nipo hapahapa [emoji23][emoji174]
J2 njoo kweli unifuatee dada,We sema kama una muda
J2 nakufata hapohapo yudii
Nipooo na upite na vochaaa.Bado upo?
Nataka nipite naked
Yepii hayoo cuzoo??Mama yeyo nmeku mic sana afu nina maua yako hapa
DuhAh usiwaze
Nishapotezea
Imekwisha .
Ole wako unikimbie[emoji23]J2 njoo kweli unifuatee dada,
Umeona eeehhh!!
Ulifichwa wapi nimepita hapa naked kabisaaNipooo na upite na vochaaa.
Nakupeeendaaa sana shangaaazi wangu mzuri 😊😊😊Umeona eeehhh!!
Santo sana mjombaa!!
Huyu mabega wazi 🔥🔥🔥🔥
wachawi tuuu . 😅😅Jaman,wasifanye hivyo .....wanataka nikae useja mpaka lini Laaziz?😔😥
🤣🤣🤣🤣🤭wachawi tuuu . 😅😅