Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nimekaa hapa nje,, naomba unipitishie soseji 1 na chips kidogo 😍😋😋
IMG_7825.jpeg
 
Ila humu ndani kuna unaaa
Yaani tunaandika tu kujiburudisha lakini watu wanatu label sivyo kabisa

Sijapentaaaaa 😂😂😂😂
Achana na watu humu watakuumiza kichwa tu 😂😂😂
Alafu fanya mambo yako bila kuangalia watu watasemaje.
 
Back
Top Bottom