Manyanza
Platinum Member
- Nov 4, 2010
- 19,965
- 45,625
Marahaba hujambo?Shikamoo kaka
Marahaba hujambo?Shikamoo kaka
Sijambo vipi wewe ?Marahaba hujambo?
😂😂😂😂Kuna jukwaa la dini na Imani Miss Liverpool nendeni kule mkakaribishane kanisaniNjoo Kanisani Cocah
Dunia ishafika mwisho hii, kabla hatujauzwa mazima, heri tujiuze kwa Yesu
Mafua tu Mdogo wangu sema nitakuwa naleta selfie 🤳🏿 zangu za Tbt 😅Sijambo vipi wewe ?
Pole.Ila humu ndani kuna unaaa
Yaani tunaandika tu kujiburudisha lakini watu wanatu label sivyo kabisa
Sijapentaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pole aiseeMafua tu Mdogo wangu sema nitakuwa naleta selfie 🤳🏿 zangu za Tbt 😅
Pole aisee
Kipindi hichi kila mtu anaumwa mafua .
Vizuri sana Kaka tuzione hizo selfie za enzi za mwalimu .
Nipe locs nije kuabuduu.Njoo Kanisani Cocah
Dunia ishafika mwisho hii, kabla hatujauzwa mazima, heri tujiuze kwa Yesu
Wee ndo unashangaa leo?? Wenzio tumeshazoeaaa.Ila humu ndani kuna unaaa
Yaani tunaandika tu kujiburudisha lakini watu wanatu label sivyo kabisa
Sijapentaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu fungukaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tunapakwaza matope hivi hivi
Inauma kidogo [emoji23][emoji23]
Naomba hiyo 250tsh nkanunue big bom [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2679300
Asante karibu Mishikaki ya Tende na Alikasusu [emoji28]
mshamba_hachekwi jioni Hii tu nakula vitu vya pwani
Enjoy aiseeView attachment 2679300
Asante karibu Mishikaki ya Tende na Alikasusu 😅
mshamba_hachekwi jioni Hii tu nakula vitu vya pwani
Duh hatari sana 😂😂😂😂Wee ndo unashangaa leo?? Wenzio tumeshazoeaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na hakuna jipyaaa.
Ah nimekoma 😂😂😂Hebu fungukaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
WeTunapakwaza matope hivi hivi
Inauma kidogo [emoji23][emoji23]
Injili inahubiriwa popote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna jukwaa la dini na Imani Miss Liverpool nendeni kule mkakaribishane kanisani