Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,408
- 102,432
Na wanilipe kabisa😂😂😂Hahaha legeza kidogo
Unaweza bahatika kupata binti ambaye mzazi wake hataki mahari .
Na wanilipe kabisa😂😂😂Hahaha legeza kidogo
Unaweza bahatika kupata binti ambaye mzazi wake hataki mahari .
Haya naendaSikwambii leo.
Nenda unasubiriwa huko.
Nikikaribia kuja nitakwambia uniandalie host wa kwuniongoza mitaa ya Daslma😂
We utakuwa busy na baby wako, sitaki kuwa msindikizaji, nataka wa kunipa joto na mimi 😂Haya naenda
Naomba host niwe mimi mwenyewe .
Will take you to the places youve never seen before 😂😂😂 .
Nimekumbuka concept ya lamerck, use and dis use😂😂😂, hapa kwangu alifeli😂😂 Dahan😂😂😂😂 Sure, utumie vizurii si unajua hauna spare😂😂😂😂😂😂😂
HeheeNa wanilipe kabisa😂😂😂
Hehe kumbe 😂😂We utakuwa busy na baby wako, sitaki kuwa msindikizaji, nataka wa kunipa joto na mimi 😂
Itabidi nianzishe chama Cha Sera za wahindi, kwa jumuiya ya ndani tz 😂😂Hehee
Bride price muhimu bhana utoe hata robo .
Usichukue bure bure .
HeheeeeItabidi nianzishe chama Cha Sera za wahindi, kwa jumuiya ya ndani tz 😂😂
👉Ili wanilipee😂😂😂
Asijiandae, hakuna jipya, just hugs and drinks.Hehe kumbe 😂😂
Huyo host ajiandae
Mimi na baby wangu hatokuwa na PDA , hivyo usiwazw
Kumbe basi hamna shidaAsijiandae, hakuna jipya, just hugs and drinks.
HujatokaKumbe basi hamna shida
Vitu vidogo sana hivyo , she will manage .
Tayari ShemHujatoka
Poa. Weekend mjema. Mkifika mtukumbuke hapa kwa sf zenu. 😄Tayari Shem
Sawa nawe piaPoa. Weekend mjema. Mkifika mtukumbuke hapa kwa sf zenu. 😄
Naona unaitendea haki yanga😂😂Hio sampo tu Nyingine Zishapakiwa kutolewa Mpaka Nyakiboo hioooo!
Pia Kuna vi gauni vishati sketi viatu na urembo aina zotreeee!!
shifoni jeans kodray kadeti na matirio aina zotreee unapata🗣️
😂😂😂😂Nimefurahi kusikia Ofa ya DP World kulikodisha Jukwaa letu la Selfika na JF kwa kipindi kisichojulikana imetupiliwa mbali.
Kongole kwa Wanasheria wetu makini wakiongozwa na mshamba_hachekwi Tinsley Mjep na Wakili msomi rabbitus kuweza kusimamia hili
Sasa tunaweza kunywa John Walker zetu kwa utulivu sasa 🤪
Guys it's Friday 🥂