Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hehhe
Wewe hukuwa na couple yako

Mimi ningeondoka sitaki kukaa sehemu za hivyo .
couple natoa wapi na ushamba wote huu😂

niliacha kabisa kwenda kwenye mikesha mpaka leo, na washakaji wanapenda kweli wananiitaga.... mimi naona it's not right....
 
FB_IMG_1688120631331.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: 511
Saulaaa mama
All the best
Hakika utapata viwalo vya maana .
Kunavigauni vya shiffoni vizuri sana

Enjoy your weekend too 😍😍
Amina dear yani nimeweka kitako kabisa baloo moja baada ya jingine!
Bukoba bei kubwa mnooo naenda kuzinyosha natunduka !!
 
Back
Top Bottom