Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Kha jasho chungu sanaatalamba jasho tu hamna hela hapa😂
Kha jasho chungu sanaatalamba jasho tu hamna hela hapa😂
Naomba muongozo tafadhaliUlimwambiaje atafute mtu wa kuulamba bila kujua ni mkono gani unaongelewa😎
slow down mzee😅Kauli zenu mkianga kuingia king🤣🤣 mshamba_hachekwi hakuna mkate mgumu mbele ya chai, usine sema hukujua.
Kingi ipi 😂😂Kauli zenu mkianga kuingia king🤣🤣 mshamba_hachekwi hakuna mkate mgumu mbele ya chai, usine sema hukujua.
Akhu sitaki .Nenda kalambe, mtamu sana bila shaka, utajua huko huko bana😂😂
Nice songKalambe mkono mtupu kwanza.
Niko na makabila hapa "nioe yupi"
,😂😂😂Wanaojibu hivi wote hawakutoboa🤣🤣🤣
Mambo ya naogopa mwenzio sio. mshamba_hachekwi
Ah uvivu , nakupa tittle tuNipe mashairi
Rohit inabidi ajulikane😂😂😂😂
Niko vereeee... Hofu kwako mzee wa vilio😂😂😂😂😂How are you doing cute Dahan
Eehh au leo ni gani na yule anaekutesa😂😂😂😂😂Vilio tena
Ety mshamba_hachekwi ni kweli mko nae sambamba😀😀😀😀I'm single again🤣
Ahsante,RafikiGet well soon .
Tuta tumia mrija 😂😂 Aaliyyah😀😀Wala siji kwanza Yani Nile dagaa mchuzi kidebe😀
Halafu mie chai ,mara chache sana itokee ndio nakunywaMagonjwa mengi ya kuambukiza husababishwa na ukosefu wa virutubisho vinavyofaa mwilini hasa aina ya ‘allicin’. Kitunguu saumu ni kina virutubisho hivyo na kinaweza kutafunwa tu kilivyo au kupitia mapishi.
Chai moto ya kawaida au ya kijani (green tea) ina vitu muhimu sana vya kuimarisha kinga ya mwili. Unywaji kwa wingi wa chai wakati mtu ana mafua, kutasaidia sana kumpunguzia makali ya mafua
Hapo kwenye hot flutty chick 😂😂 Tinsley niachege mwenyewe😂😂Hahahaha ....
You should find one , a hot fluffy chick .
Hata kombe la dunia la 2010, huja angalia😂😂Ww kinda unamjua
Shida moyo wangu kiburi😂😂😂, ila labda 2090, au Aaliyyah akipunguza mahari iwe 2000 tu😂😂😂Okay Mkuu