mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,761
mtoto asinyimwe kipigo😂 ni haki yake
mtoto asinyimwe kipigo😂 ni haki yake
Unayenimeipenda hii😂
beating is a form of loveIsiwe too much bro, they need love too
watoto watakuwepo si ndo maana yake😋Unaye
Kama hauna nakukaribisha mkesha kanisani kwetu leo 😂😂
Love can be expressed in many ways, fimbo ni one of themIsiwe too much bro, they need love too
Si watasinzia 😂😂watoto watakuwepo si ndo maana yake😋
we tinsley unapenda kuigiza😂Si watasinzia 😂😂
Wakubwa tu , lazimw ushtue na coffee .
TinUnaye
Kama hauna nakukaribisha mkesha kanisani kwetu leo [emoji23][emoji23]
beat your meat responsibly😂 ED is real...😂😅😂
Keep beating bro, i mean keep beating, i mean beating, consider the word beating😂😂
Binafsi wakati nakua nimekula mboko sana, kwa wote baba na mama hadi nikawa nahisi hawanipendi.I agreed with you Bellissima 😅
But not too much beating
Hehee kumbe aiseewe tinsley unapenda kuigiza😂
watoto namaanisha vibinti😂
Sijambo KakaTin
Hujambo
nakazia....So nadhani inategemea,
nakuja.... tena upo wewe dada yangu utandalalia😂Hehee kumbe aisee
Wa kutosha yaani
Hahaanakuja.... tena upo wewe dada yangu utandalalia😂
sasa shida ipo wapi jamani😂Taratibu we mla mihogo. Nakuona una m-flirt shem wangu😉
Duuh waya jaman, huyo alizidisha.Sahihi, nimeweka hiyo meme kutoka na jambo lililotokea. Jana kuna rafiki kapewa life ban (asimguse wala kumsema mwanae siku zote atakazoishi nae) kwa kosa la kumchapa kwa waya. Mama kaendesha kesi kashinda, baba analipa faini na hiyo life ban. Mtoto ana 14yrs now
nakuja na suti, navaa kisponsor😂Hahaa
Mule mshamba mimi peke yangu 😂😂😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bangi mie naijua ikiwa ktk mbegu had ikiwa tayari kivunwaa, tumelimaa sanaa kwetuu.Hahaa aisee
Kwa hiyo ukaona kabisa hii hapa
Hukushtuka ??
Labda hatumii sana ndo maana haonyeshi .
Ndiwooooooo!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tuwakilisheni huko maana [emoji23][emoji23][emoji23]