Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
True love bhana never diesG wako kumbe anavuta bangi, na hajaniambia.
namuuliza anajibu nsamehe tyuuh.
Yaan anahisi labda ntamuacha, kumbe bangi kwangu sio ishu.
Afu hakuna anayejua, na wala haoneshiii, na kasema nisimuambie mtu.
Kumbe unaweza tumia bangi, na watu wasikugundue au kujionesha.
Ahh mapenzi ni ukichaa uwii
Hongera sana kwa kupambania penzi lako .
Bangi unakuwa normal kabisa
Juzi nipo sehemu usiku mtu wa bajaji akasema subiri nivute kwanza ndo nije na kaendesha fresh kweli


