Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji3][emoji3][emoji3]Vyakula vya shule nimekumbuka siku ya wali weekend mnaoga saa kumi kuwahi foleni [emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan acha kabisaa shangaziii, life la boarding ni tamuuu.
 
Awwh mfike mbali kipenzi .
G wako kumbe anavuta bangi, na hajaniambia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] namuuliza anajibu nsamehe tyuuh.

Yaan anahisi labda ntamuacha, kumbe bangi kwangu sio ishu.

Afu hakuna anayejua, na wala haoneshiii, na kasema nisimuambie mtu.

Kumbe unaweza tumia bangi, na watu wasikugundue au kujionesha.
 
True love bhana never dies
Ahh mapenzi ni ukichaa uwii

Hongera sana kwa kupambania penzi lako .
Bangi unakuwa normal kabisa

Juzi nipo sehemu usiku mtu wa bajaji akasema subiri nivute kwanza ndo nije na kaendesha fresh kweli
 
Njoo Spur basi, utarudi chuoni kesho ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š
 
Mtunzie siri shem wetu
Na uzidi kumpenda ๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
True love bhana never dies
Ahh mapenzi ni ukichaa uwii

Hongera sana kwa kupambania penzi lako .
Bangi unakuwa normal kabisa

Juzi nipo sehemu usiku mtu wa bajaji akasema subiri nivute kwanza ndo nije na kaendesha fresh kweli
G kani suprise, nisingekuta bangi kwake nilipo iona, hata nani angenambia ningekataa, unajua yuko normal kabisaa yaan hajulikani wala haoneshi km anatumia bangi.

Hata yeyote nimuambie eti G anavuta bangi, watasema namsingizia wallah. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kumbe uchizi wengine wanajifanyisha, sio tatizo bangi .
 
Hahaa aisee
Kwa hiyo ukaona kabisa hii hapa
Hukushtuka ??

Labda hatumii sana ndo maana haonyeshi .
 
Mtoto mkali aliepo masaki.. asogee hapa Spur ... tule maisha kidogo

Intelligent businessman habari za jioni.. nimekuja kidogo hapa kula vi raha.. njoo na shemeji yangu
Sasa wewe mwizi anaye chipukia National Anthem una taka nije huko dar kwa miguu๐Ÿค”, Mana mi Niko nanjilinjii kwa wazazi๐Ÿ˜๐Ÿ˜
๐Ÿ‘‰Halafu demu Sina๐Ÿ˜๐Ÿ˜, shahidi ni Tinsley ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ