Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,283
- 95,578
Hahahahaha,kuwa cha mtu cha wote ,mmmh hiyo mbn ngumuEti mtu chake,kwanini kisiwe mtu cha wote 😁😁
Hahahahaha,kuwa cha mtu cha wote ,mmmh hiyo mbn ngumuEti mtu chake,kwanini kisiwe mtu cha wote 😁😁
Madam Nuzulati tWapendwaaa wangu kesho pilauuu kwangu karibuni sanaaa😍
Hivi papo bado? Kuna sehemu nimekuja kula chips yai halafu naenda karaoke 777Niko contena
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ongezaaa sautiii mume wangu.Ebu waeleze
Mie hapa ninachooo,Nani humu ana kipaji cha utangazaji ? Na anaeza kujitolea ,kubuni
Kesho eid nakuja kudowea pilau, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watu wa selfika wazima?
Dear, nipe locs, naandaa ndizi mbivu kabisaa, [emoji39][emoji39][emoji39]
Hapanaaa haiwezekaniiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Msamaha ni kubaki na kumbukumbu isiyo na kisadi!
Inshaalah kesho mtaa lazima unukie😁
Nilipitwaaa wapiii?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tuselfike
Ko ukwaju kesho hamna🙄😁😁Inshaalah kesho mtaa lazima unukie😁
Karibu, ila tumeshapakimbia kitambo sanaNgoja nihamie hapo
Mzigoni kama kawaida kesho nipo viwanja vya Zankem natembeza huku naangalia watoto walio pendeza😁😁😁Ko ukwaju kesho hamna🙄😁😁
Jinga Sana😂😂, na kupika saa ngapi Sasa??Mzigoni kama kawaida kesho nipo viwanja vya Zankem natembeza huku naangalia watoto walio pendeza😁😁😁
Njoo 777 dearDear, nipe locs, naandaa ndizi mbivu kabisaa, [emoji39][emoji39][emoji39]
Ntakuja kesho dear [emoji8][emoji8]Njoo 777 dear
Aaah,Fursa ishapita ,ila ngoja niulize tena, ukafanye screen test jmosMie hapa ninachooo,
Pako km kawaida, nilitoka nikasogea Positive Vibes ,maeneo yale yale mbele kdgHivi papo bado? Kuna sehemu nimekuja kula chips yai halafu naenda karaoke 777View attachment 2672371
Napika kwa sasa ifikapo saa 7 naingia mzigoni😍Jinga Sana😂😂, na kupika saa ngapi Sasa??
Utukaribishe vikiwivaNapika kwa sasa ifikapo saa 7 naingia mzigoni😍