Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

BF tulikua wote wanafunzi, tushaachanaa mda tyuuh.
Kuolewaa mchezoo? Waoaji wapo sasa?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Aaliyyah nisaidiee shangaziiiii
Aaah mimi nilikuwa natafuta mchumba ningekuhitaji ILA kwa tabia ulizotuambia humu PIndi uko advance aisee hapana hunifai. Fanya haraka mrudiane na huyo BF akuoe lasivyo utapata tabu sana
 
Hapanaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wee hela tulikua tunachanga na BF wangu, siwezi tumia zote naanzaje kwan, hata hivyo mbna sikua natumia sana, nilikua natumia vyakula vya shule, sina mambo mengi yaan.
Chakula cha shule [emoji1787]
 
Aaah mimi nilikuwa natafuta mchumba ningekuhitaji ILA kwa tabia ulizotuambia humu PIndi uko advance aisee hapana hunifai. Fanya haraka mrudiane na huyo BF akuoe lasivyo utapata tabu sana
Kwa sifa na vigezo vilee mie tayari niko nje ya ulingo.
Basi sawa ntamuambia turudianee.
 
Kwenye kupikaa huyu mdada anajua, kanifundisha kukaanga yai la nyanya, linatoka km chips zegee, afu tamuu balaaa.

G mda wote ndo anataka nimkaangie, to be the honest huyu mdada ana roho nzuri mnoo, kanifundisha kupikaa na vingne sikuwahi jua.

Sijui kwann serikali haimpi ajira, kila akiomba anakosa.
Mbna ana utu sanaaa.
Wakat wake Bado inshallah atapata
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] siri zangu nyingii anazo alikua mdada wetu wa kazi, Paulina popote ulipoo uwndelee na kifua hicho na moyo huo.

Yaan yulee km kuniweka wazi duniani bas ndo angekua yeye, wazazi na ndugu wanakuja kujua, yeye ashatokaaa zamanii,yaan sina cha kusema, wadada wa kazi wanayajua mengi ya familia kuliko hata familia enyewee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😀😀Kwakweli kakufaa sana mm aunt yangu aliniangusha lkn nilikuwa tayar nipo chuo Anko hakuwaka sana
 
Hakuna kitu kizuri kwa mpishi yeyote kama compliment ya chakula chake,, it's the best feeling ever
Yani acha tu ni rahasana mm huwa napika Sili wakat mwingine lazima nitoe hata kibakuli nimpe jirani hasa nikipika vyakula flan hiv watu wale Ile Asante chakula kitam najisikia furaha sana
Yani mtu hata akija kunisalimia utasikia umepika nn. Leo na km kipo natoa km hamna ukikaa tu naingia jikoni
 
Yani acha tu ni rahasana mm huwa napika Siri wakat mwingine lazima nitoe hata kibakuli nimpe jirani hasa nikipika vyakula flan hiv watu wale Ile Asante chakula kitam najisikia furaha sana
Yani mtu hata akija kunisalimia utasikia umepika nn. Leo na km kipo natoa km hamna ukikaa tu naingia jikoni
Huu ni mwaka wa 15 ninapika, but everytime nikipewa a compliment kuwa ni kitamu, it feels like the first time,,
 
Yani acha tu ni rahasana mm huwa napika Siri wakat mwingine lazima nitoe hata kibakuli nimpe jirani hasa nikipika vyakula flan hiv watu wale Ile Asante chakula kitam najisikia furaha sana
Yani mtu hata akija kunisalimia utasikia umepika nn. Leo na km kipo natoa km 😪hamna ukikaa tu naingia jikoni
We ni kachoyo🙄😪😐 Aaliyyah
 
Back
Top Bottom