Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Same hereNilikuwa sikipendi kinoma,, [emoji23]
Day one nikajiuliza what is this .
Nashukuru sana Ulcers , nikawa nakula special diet 😂😂
Same hereNilikuwa sikipendi kinoma,, [emoji23]
Nimekula sana canteen,, chakula cha shule nimekula kwa kuhesabu,,Same here
Day one nikajiuliza what is this .
Nashukuru sana Ulcers , nikawa nakula special diet [emoji23][emoji23]
Hiyo ya kishua sana hiyo shuleNimekula sana canteen,, chakula cha shule nimekula kwa kuhesabu,,
😀😀😀Dagaa mchuzi mwingi had wanafufukaYaani niwakaribishe, wakati nimepika Dagaa mmoja, mchuzi beseni😂😂
Jirani i missed you ..Nimekula sana canteen,, chakula cha shule nimekula kwa kuhesabu,,
Vizuri na hongera sana inaleta rah kwakweliHuu ni mwaka wa 15 ninapika, but everytime nikipewa a compliment kuwa ni kitamu, it feels like the first time,,
Afu ni kadagaa kamoja 1 tu, kakifufuka nakaua Tena😂😂😀😀😀Dagaa mchuzi mwingi had wanafufuka
😀😀Afu ni kadagaa kamoja 1 tu, kakifufuka nakaua Tena😂😂
😀😀😀Vyakula vya shule nimekumbuka siku ya wali weekend mnaoga saa kumi kuwahi foleni 😀😀Hapanaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wee hela tulikua tunachanga na BF wangu, siwezi tumia zote naanzaje kwan, hata hivyo mbna sikua natumia sana, nilikua natumia vyakula vya shule, sina mambo mengi yaan.
Those days😂😂😂, wali mara 1 kwa wiki😂😂😀😀😀Vyakula vya shule nimekumbuka siku ya wali weekend mnaoga saa kumi kuwahi foleni 😀😀
Wali Umeiva???, Au we ndo muasisi was uchoyo😂😂😀😀
Nimeenda kula Kwa jiraniWali Umeiva???, Au we ndo muasisi was uchoyo😂😂
Yatapitaa, usiwaze sana😂😂😂😂
Umeachwa tena?
Atafute hela, mwambie tu ukweli 😂Yatapitaa, usiwaze sana😂😂😂😂
Nashindwa kuelewa sisy.. vilio tuu😂😂😂Atafute hela, mwambie tu ukweli 😂
Mi nipo naangua ubuyu na ukwaju kwenye mtiNimeenda kula Kwa jirani
Ujirani kufaana siku kama hizi