Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,408
- 102,314
Shikamoo😂😂Nashindwa kuelewa sisy.. vilio tuu😂😂😂
Shikamoo😂😂Nashindwa kuelewa sisy.. vilio tuu😂😂😂
Kila siku anaachwa yeye tu jamaniNashindwa kuelewa sisy.. vilio tuu😂😂😂
Kuna mahali anakwamaKila siku anaachwa yeye tu jamani
Dogo mapenzi ya kifilipino yasikuchanganye😂😂mmwenzenu niwaambie sijawahi mimi kupendwa hivi.
Mwenzenu niwambie napendwa mimi kushindaa ninyi
mshamba_hachekwi umesikia View attachment 2673178
Ahahahahah acha uchoro ww jua ty nimepata kivul changDogo mapenzi ya kifilipino yasikuchanganye😂😂
NakaziaKuna mahali anakwama
Dogo Kuna kanuni, usijibebeshe mizigo mapema, kwa umri wetu huu ndo mda was kutake risk🙏Ahahahahah acha uchoro ww jua ty nimepata kivul chang
Ulimtumia na ya kutolea?
Ahahahh majukumu yapo kupendwa na hitaji la kila mtu na mapenzi ni lazima labda uwe mmea kwako haitokuwa lazimaDogo Kuna kanuni, usijibebeshe mizigo mapema, kwa umri wetu huu ndo mda was kutake risk🙏
😀😀Pole koroga juisMi nipo naangua ubuyu na ukwaju kwenye mti
Ngoja nikatafute na juice cola ya 100😂😂, sikupiiii😂😂😀😀Pole koroga juis
Hayaaa😂😂Ahahahh majukumu yapo kupendwa na hitaji la kila mtu na mapenzi ni lazima labda uwe mmea kwako haitokuwa lazima
Nipe nambayake anipe mawili matatu alikufanyaje ukasongesha nijue pa kuanzia 😀😀😀mtu asongesheUnanicheka badala unipe pole jamani
mapenzi uchwara mdogo wangu....mmwenzenu niwaambie sijawahi mimi kupendwa hivi.
Mwenzenu niwambie napendwa mimi kushindaa ninyi
mshamba_hachekwi umesikia View attachment 2673178
Mm sipendi kuitwa dogo ase hakuna anae juwa mwak wangu kuzaliwa mzee nishamkaja Intelligent businessman ww tena ase sitaki ilo jinamapenzi uchwara mdogo wangu....
chukua hii itausaidia hapo mbeleni😂
Ukute umetoka kumlilia mtoto wa mtu alafu unamshaur mwenzio aachane na mapenz muacheni had yamuue 😀mapenzi uchwara mdogo wangu....
chukua hii itausaidia hapo mbeleni😂
hela ya field imeingia mama njoo tuyajenge😁Atafute hela, mwambie tu ukweli 😂
Looh ubahili 😀😀Ngoja nikatafute na juice cola ya 100😂😂, sikupiiii😂😂