Yatapitaje sasa, hebu nipe uzoefu zaidi.Yatapitaa, usiwaze sana😂😂😂😂
Yatapitaje sasa, hebu nipe uzoefu zaidi.Yatapitaa, usiwaze sana😂😂😂😂
Ndio uanaume huo sasa kutembea kwa miguu hadi mkoani🤣Muonee huruma jamani, atarudi a town kwa miguu ujue😂 mshamba_hachekwi
Naijua hyo😂kama ni hivyo njoo uifuate hapa kwangu😂 siumii bure
Simuachi hata na mia, ameyataka mwenyeweSio poa, hako katoto ukikachuna unakaachia na pocket money, ila ma legend we piga zote. mshamba_hachekwi
mkuu niko tayari kufa kifuani kwa lishangazi😁Sio poa, hako katoto ukikachuna unakaachia na pocket money, ila ma legend we piga zote. mshamba_hachekwi
nakupa na wewe unanipa😋Simuachi hata na mia, ameyataka mwenyewe
Missed you more jirani sema nimekuja kudeka kwa mama before sijaondokaJirani i missed you ..
Hope you are okay ??
Awwh jamaniMissed you more jirani sema nimekuja kudeka kwa mama before sijaondoka
Aah shida zake kwani alitumwa?Kuwa na huruma Lenie hata wewe utakuwa na kijana kama huyo, utajisikiaje akirudi home kalowa jasho na vumbi la olkokola kule kisa amehonga zote kakosa nauli.? 😂😂 mshamba_hachekwi
Jirani ni muhimu ngoja nirudi dar[emoji16]Awwh jamani
Fanya kuniona kabla hujaondoka
Tutembee hadi baharini kule [emoji23][emoji23][emoji23] .
Sawa sawa jiraniJirani ni muhimu ngoja nirudi dar[emoji16]
Haya mapumziko mema
bila sweta, koti hutoboi😂Hii imeenda mwanangu
Naona raia walitoka mataa ya Phillips 😂😂
Siku hizi asbh kuna bonge la fog... mpk linamwaga udenda 🤣🤣
Wavaa vimini siku hizi tunaviwekea na stocking, maana unaweza kuganda miguubila sweta, koti hutoboi😂
embu tuone hivyo vimini na stockingsWavaa vimini siku hizi tunaviwekea na stocking, maana unaweza kuganda miguu