cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 121,730
- 200,212
Ni ilala yes, anatakiwa ampate pailo, ili akiwa na Bello aanze yeye kuchagua kabla ya kupelekwa sokoni.Ilala dear
Au karume hapo
Naaonaga asubuhi wanawahi upate nzuru .
Anapata mtumba grade 1.