Maandalizi yako fresh, tutaishii kibishii hivyo hivyoo.
Tutasogeza siku kibishii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maandalizi yako fresh, tutaishii kibishii hivyo hivyoo.
Tutasogeza siku kibishii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wachaaa wee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Zilondwa mbali, zitendwa mbali[emoji28]
Ah boraSio sana nilipaka mafuta jana na leo naona kinapona!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] finalist sie,
All the best sweetieMaandalizi yako fresh, tutaishii kibishii hivyo hivyoo.
Tutasogeza siku kibishii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] finalist sie,
Tulishajipanga mda, now tunawaza life la kitaaa.
Itakuajeeeeee???
Ndo tunakaribiaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]All the best sweetie
Karibu kitaa ..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi msimu wa embe maji lini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Karibu tu mwayaNdo tunakaribiaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utupokee kwa mikono 2
Weee udugu akee huko Dar wapii ntapata trauza za kiume kike, sketi vigauni nzuri na vishati mitumba ofifacial bei chee kuna mtu yuko huko nataka aniletee mzigooo niwauzie Nyakiboo hukuuuu Haelewii pa kuanzia!! Tinsley[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] finalist sie,
Tulishajipanga mda, now tunawaza life la kitaaa.
Itakuajeeeeee???
Nasubiri sana Lenie. Mzima lakini mremboBado zipo jikoni, kaa standby jioni zinatua bandarini
Ilala dearWeee udugu akee huko Dar wapii ntapata trauza za kiume kike, sketi vigauni nzuri na vishati mitumba ofifacial bei chee kuna mtu yuko huko nataka aniletee mzigooo niwauzie Nyakiboo hukuuuu Haelewii pa kuanzia!! Tinsley
March had AprilHivi msimu wa embe maji lini
Nilikuwa najisikia uchovu, ila baada ya kuona ahadi yako kuwa niandae kibakuli, najisiki buheri wa afya. 😅Andaa kibakuli tu hapo😋
Me niko bomba kabisa, habari ya wewe
Ahaaa asante ngoja nimwelekeze!! Bukoba sio kwa kununua vitu huku ni kuna bei balaaa!!Ilala dear
Au karume hapo
Naaonaga asubuhi wanawahi upate nzuru .
Ilala pale Inatakiwa ukamate ma pailo wakupe mtumba grade 1,Weee udugu akee huko Dar wapii ntapata trauza za kiume kike, sketi vigauni nzuri na vishati mitumba ofifacial bei chee kuna mtu yuko huko nataka aniletee mzigooo niwauzie Nyakiboo hukuuuu Haelewii pa kuanzia!! Tinsley