Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,209
- 183,056
Ndio mie sasa ananiosha ananiuliza wapi wanawasha mi najifanya hamna..akasisitiza ukisikia panawasha ujue dawa haijatoka vizuri itakuunguza wee hujusikii panawasha najishaua tayariii sisikii maumivu haaahh kukaa vizurii nasikia Sehemu panawashaaa uwiii kuja kupasugua vizuri kidondaaaa🙌🙌🙌Yah inabaki niliona pia
Nusu nidumbukie kwenye pipa 😂😂 .
Naosha weh wapi , 😂😂
Nimeipigia salute u