Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Tatizo mie sio Pa kuanzia, wazazi hawataki nikae huku km mchongo haueleweki, wao wanataka iwe kazi rasmi, hata km ya kujitolea.

Mishe binafsi za kawaida hawatakiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ah pole jamani
Mungu akujalie jamani ufanikiwe katika mambo yako .

Jamani ongea na ma eng huko .
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan hatarii tupuu.
Ila mie siwezi rudi home, labda nishindwee kabisa kujitafutaa.
Nabaki huku huku,

Na hata nikirudi songea, ntaenda kupangaa kwangu. Ila home tenaa hapanaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mtoto wa kishua, we kila kitu unasikia, njoo kwa field🤣
Nina ukishua gani mimi
Hoe hoe sina jipya hata

Biashara nzuri sana kwetu wanaamini sana katika kazi kuliko biashara .

Either uwe na kazi na kipato extra .
 
  • Thanks
Reactions: 511
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan hatarii tupuu.
Ila mie siwezi rudi home, labda nishindwee kabisa kujitafutaa.
Nabaki huku huku,

Na hata nikirudi songea, ntaenda kupangaa kwangu. Ila home tenaa hapanaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Rudi kwanza home kuna ma blessing kibao
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan hatarii tupuu.
Ila mie siwezi rudi home, labda nishindwee kabisa kujitafutaa.
Nabaki huku huku,

Na hata nikirudi songea, ntaenda kupangaa kwangu. Ila home tenaa hapanaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mungu ni mwema dear
Hakuna kigumu chini ya jua

Mie nishaamabiwa nirudi home , sitaki kabisa kupasikia , nipo nimekaza shingo

Ngoja tujifunze maisha hivi hivi kiubishi .

Ipo siku
 
Na vizuri sana
Biashara ya nguo nzuri sana
All the best 😍
Huku bushi wanapenda kuvaaa kupendezaaa kwa gharama yoyote sema huku wanapenda speshoo lol waone nguo ina chata ya Diamond sijui alivaa msanii fulani Alooooooohh utauza balaaa 😂😂😂😊!!
 
Weh kumbe basi huko kuzuri sana .
Tafuta na vingine vya kuwavutia jinsi mtaji unavyokuwa

Be blessed
 
🤣🤣🤣
Hii ni siri yetu sisi wenyewe wawili, hao hawatajua kitu.

Na bagia nitakua nakutumia kila week
Naahidi kuwa mtiifu kwako, kama mgambo na kirungu chake. Nitakulinda kila uendako, kikubwa nisikose bagia kila wiki🤣
 
Mungu ni mwema dear
Hakuna kigumu chini ya jua

Mie nishaamabiwa nirudi home , sitaki kabisa kupasikia , nipo nimekaza shingo

Ngoja tujifunze maisha hivi hivi kiubishi .

Ipo siku
Kabisaaa yaan dear, tukazee kiubishii.
 
Back
Top Bottom