cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,321
- 187,999
Itajulikanaa baada ya graduu, kwa sasa nipumue kwanzaaa.Sema tafuta leseni kama unaweza,, huwa inakuwa na michongo mikubwa kinyama,,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Itajulikanaa baada ya graduu, kwa sasa nipumue kwanzaaa.Sema tafuta leseni kama unaweza,, huwa inakuwa na michongo mikubwa kinyama,,
Ni kukaza tuKabisaaa yaan dear, tukazee kiubishii.
Hainaga kupumua [emoji16],, anza michongo mapemaItajulikanaa baada ya graduu, kwa sasa nipumue kwanzaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa utasababisha niwe natuma bagia zikiambatana na sambusa, ndio hizo huduma ziwe maradufu 😋🥰Naahidi kuwa mtiifu kwako, kama mgambo na kirungu chake. Nitakulinda kila uendako, kikubwa nisikose bagia kila wiki🤣
Maeneo ya vijinini changamoto Lughaaaa! wengi wakija dukani wanaulizia vitu kwa kilugha!😂😂😊😊!!Weh kumbe basi huko kuzuri sana .
Tafuta na vingine vya kuwavutia jinsi mtaji unavyokuwa
Be blessed
Duh so sadMaeneo ya vijinini changamoto Lughaaaa! wengi wakija dukani wanaulizia vitu kwa kilugha!😂😂😊😊!!
Wabaguzi balaa!!
Hakika utanifanga nikonde kwa maraha, maana bagia za mrembo ni tamu sana. Nitakulinda kama nyuki na asali yake. 😘Sasa utasababisha niwe natuma bagia zikiambatana na sambusa, ndio hizo huduma ziwe maradufu 😋🥰
1. Mutukula wanauza baadhi ya vitu bei chee kuliko dar, mfano mashuka utayolalia ukija ni ya huko.Ahaaa asante ngoja nimwelekeze!! Bukoba sio kwa kununua vitu huku ni kuna bei balaaa!!
Hahaa ukonde tena? Sio utanenepa jamaniHakina utanifanga nikonde kwa maraha, maana bagia za mrembo ni tamu sana. Nitakulinda kama nyuki na asali yake. 😘
Barikiwa sanaa mnywaniii !1. Mutukula wanauza baadhi ya vitu bei chee kuliko dar, mfano mashuka utayolalia ukija ni ya huko.
2. Katoro napo hawajambo kwa mitumba sijui wanaitoaga wapi
3. Kahama pia, japo siyo sana...
Nakuongezea tu alternatives to exploit mrembo
[emoji23][emoji23][emoji23]bmlo palinishinda, nipo Ngara hapa mara kadhaa napata nafasi ya kuliwakilisha taifa kwenye michuono ya kimataifaBarikiwa sanaa mnywaniii !
Wakora munoo!
Afu kweli katoro ni karibu sana pale itabidi nikupitie Bmlo unieskoti asee![emoji4]
Mtukula nguo beii kubwaa labda kama sijafika hizo chimbooo za bei nafuuu unielekeze mnywanii!1. Mutukula wanauza baadhi ya vitu bei chee kuliko dar, mfano mashuka utayolalia ukija ni ya huko.
2. Katoro napo hawajambo kwa mitumba sijui wanaitoaga wapi
3. Kahama pia, japo siyo sana...
Nakuongezea tu alternatives to exploit mrembo
Lol Ngara kote huko mbona mbali sanaa uwiii!! Hamia Missenyi Au Muleba japo muleba pamepoa sanaa hata hapajachangamka kabisa!![emoji23][emoji23][emoji23]bmlo palinishinda, nipo Ngara hapa mara kadhaa napata nafasi ya kuliwakilisha taifa kwenye michuono ya kimataifa
Unaliwakilisha Kwenye michuano ya nini mnywanii???😊😊[emoji23][emoji23][emoji23]bmlo palinishinda, nipo Ngara hapa mara kadhaa napata nafasi ya kuliwakilisha taifa kwenye michuono ya kimataifa
Sijawahi kujaribu biashara dear, me nachukuaga zangu binafsi tuuu (rejareja) nilikuwa naona nafuu kubwa hasa kwenye mashukaMtukula nguo beii kubwaa labda kama sijafika hizo chimbooo za bei nafuuu unielekeze mnywanii!
Na Vitenge pia bei nafuu japo Vitenge haizidi kigoma!!
yale yale tuu, sasa nikipata mnyaru si ndo naliwakilisha taifa?Unaliwakilisha Kwenye michuano ya nini mnywanii???[emoji4][emoji4]
Kwa kwelii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni kukaza tu
Mungu ni mwema
Kusubiri tu rehema zake .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bhana jau sasa aaahHainaga kupumua [emoji16],, anza michongo mapema
Ahaa hapo nimekupata!Sijawahi kujaribu biashara dear, me nachukuaga zangu binafsi tuuu (rejareja) nilikuwa naona nafuu kubwa hasa kwenye mashuka