Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Shindwa 😂😂😂Mwishowe iwang'oe masikio😂
Ndo maana najipaka mwenyewe
Shindwa 😂😂😂Mwishowe iwang'oe masikio😂
Muhogo ni moto sanaSi bora aliepaka nywele kiujumla walau zinakua nyinyi nying mimi nimesuka kawaida hutu twa mbele twa kulaza na jeli ni alirundikaa yeuwiiiii!! Dakika hio hio nakwambia 🙌🙌🙌🙌!!
cocastic 😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] style mpyaa imeingia mjini.View attachment 2669302
Asante dear!Muhogo ni moto sana
Na ni kali ,pole sana
Ukiweka mbele huku nibalaaa zaidi .
🤔🤔Muhogo ni moto sana
Na ni kali ,pole sana
Ukiweka mbele huku nibalaaa zaidi .
Nitakuita tuKwa nani tena mdogo wangu?
Mwez ujao asipo sikiliz ushauri wawatLini tukusindikize kijana
PoapoaNitakuita tu
dogo uko kama toothpick😆Juma tatu uwa inakuwa bise sana dah
Kha sijui alikuwa anatafuta nnAsante dear!
Yaniii Afu mbele kwenyewe nywele zangu zilikatika balaa ni twakuokoteza tu alivorundika Ndiomana dakika hiohio anaweka naunguaaa!! Muhogo Ni motoo balaa!
Itakua vitu wanavyochanganyia ni vinomaa sanaKha sijui alikuwa anatafuta nn
Maana ikigusa tu ngozi ni kuungua
Mimi niliokota mchanga nikaweka kwenye nywele uwii
Maumivu
Vikali sana uwiiiItakua vitu wanavyochanganyia ni vinomaa sana
Khakhakhaaaa mchanga / vumbivumbi linasaidia walau!!
Da kuwa na adabu ww mttdogo uko kama toothpick😆
Halafu kuiosha inatakiwa kichwa wakuoshe maji mengi wakusugue vizuri ikibaki tu unaungua zaidi!Vikali sana uwiii
Na imebaki kwenye kopo
Ah maji niliona yapo mbali sana 😂😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo mie akiwa anairukiaa, nafunga miguu, pumbu zake zitagonga magoti yangu, utasikia zinapasuka "pchuu pchuu"coca wee ni chizi ujueee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]!
Hio Lazima itoe kizazi weeeehh[emoji119][emoji119]!! Ni ngiiihhh!!![emoji1]
Yah inabaki niliona piaHalafu kuiosha inatakiwa kichwa wakuoshe maji mengi wakusugue vizuri ikibaki tu unaungua zaidi!
Utauaaaa udugu akee lol! Hio ikipenya lazima itokezee mgongoni weeeh😁😁😁😁😂😂😂!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo mie akiwa anairukiaa, nafunga miguu, pumbu zake zitagonga magoti yangu, utasikia zinapasuka "pchuu pchuu"
Ndo akili itamkaa sawaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata yeye haweziii,Utauaaaa udugu akee lol! Hio ikipenya lazima itokezee mgongoni weeeh[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]!!