Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

We Aaliyyah umeshika paja la Nani🤔🤔, Nita tuma team ya extraction ikiongozwa na mwizi anaye chipukia National Anthem, mwenyekiti wa mizagamuano Mzee wa kupambania, mpiga chaboo Poor Brain, miyeyusho stow away, miss selfie Dahan, na mnafiki mshamba_hachekwi chambo wa wezi Analyse
👉Sera zetu 👉 Panga mkononi
👉Roho begani
Hapo anaonyeshwa jimbo liko wazi mkuu tunaweza tukaenda kupiga miluzi tuopoe mwali so unaona hakuna ring, paja lisikuogopeshe linaweza likawa paja lako ushalisahau 😆
 
Kisumapai bado yukooo vizuri

Ottawa alifurushwaa kuna nyumba yake msamala karibu na stand ya zaman, ile inasifika kwa matukio ya ajabu,

Sasa wazungu ndo walipanga mule, bhanaa wee wakichezea kichapooo na kulazimishwa waongee kiswahili

Misukule ya ottawa mchezoo, wazungu wakashitaki ndo akafurushwaa.

Matajiri wa Songea ni nouma 😂😂😂😂
Halafu wakifa na mali zote zinapotea. Walikuwepo wakina Kiswele 😅
 
Guys the hot movie by Joe & Russo brothers is out now
FB_IMG_16870369489053337.jpg
 
Matajiri wa Songea ni nouma
Halafu wakifa na mali zote zinapotea. Walikuwepo wakina Kiswele
huyo ashapotea,

Songeaa kwa sasa anavuma Super feo, naye ni kafara mnoo.
Magari yanaanguka holela, waliachana na mkewe kisa kukataa kutoa kafara ya mtoto wao.

Super feo ana fitina mnoo, alimfanyia fitina New force,
Zilichapwa ngumi kati ya wachina na wabongo, famchezo nn

Kung fu watu waliona livee
 
huyo ashapotea,

Songeaa kwa sasa anavuma Super feo, naye ni kafara mnoo.
Magari yanaanguka holela, waliachana na mkewe kisa kukataa kutoa kafara ya mtoto wao.

Super feo ana fitina mnoo, alimfanyia fitina New force,
Zilichapwa ngumi kati ya wachina na wabongo, famchezo nn

Kung fu watu waliona livee
Unamwaga mchele bila uoga kabisaaa. Inatosha aiseee 😂😂😂
 
Back
Top Bottom